Recent content by Mandela Jr.

  1. Mandela Jr.

    Tundu Lissu: Kisasi changu kitalipwa na Mungu

    Hili ni sawa, Mungu aliyemwokoa na kifo ndiye atayelipa kisasi kwa kadri ya atakavyo!
  2. Mandela Jr.

    Rais Uhuru Kenyatta: Wakenya hawapaswi kujilinganisha na mataifa yanayoficha taarifa za COVID-19

    Mungu awasaidie kama alvyotusadia Tanzania. Hakuna kinachofichwa, ni utukufu wa Bwana umetufunika!
  3. Mandela Jr.

    Nini tofauti kati ya Maruhani, Mapepo, Mashetani na Majini?

    Pamoja na ufafanuzi utakaotolewa hapa, jambo moja muhimu ni kwamba; Hizi zote ni kazi za ufalme wa giza ila kwa ngazi tofaututofauti. Na Ufalme wa Nuru hufukuza kila aina ya giza, bila kujali ngazi husika!.
  4. Mandela Jr.

    Serikali: Kila Jumamosi ya Mwisho wa Mwezi itakuwa Siku ya kufanya Usafi nchini!

    I'm not exactly sure if are the things/matters to be dealt with the central government.
  5. Mandela Jr.

    Picha: ACT- Wazalendo yapata Meya Kigoma mjini

    Si kwamba nadhihaki,. Kama siyo jiji kwanini aitwe Meya? Au taratibu zikoje?
  6. Mandela Jr.

    Picha: ACT- Wazalendo yapata Meya Kigoma mjini

    mcubic Halmashauri ya jiji la Kigoma?
  7. Mandela Jr.

    Wakati Tanzania tukiwa tunashangilia kusimamishwa maofisa TRA, Kenya wanafanya hivi...

    Huwa unakuwa huko mara kwa mara, #Magufuli ana kama mwezi 1 tangu aapishwe,. Unataka kutuaminisha kuwa mara hii wakenya wameshamfahamu #Magufuli kwa viwango vya kuataka awe 'mtawala' wao? Kenya ipi hiyoo?!
  8. Mandela Jr.

    Rais Magufuli bado sana watanzania ni vipofu wa fikra

    Kweli kabisa mkuu, 'Kikwete aonekane msafi kwasababu ya Benjamin, Magufuli imara sababu ya udhaifu wa Kikwete na X ataonekana msafi sababu ya uchafu wa Magufuli'?! Taifa gan hili??? Bdo hatujawa na viongozi
  9. Mandela Jr.

    Michango alianza kuifuta Tundu Lissu, Dr. Magufuli ameiga tu

    Sheria ya michango inasema nini?
  10. Mandela Jr.

    David Kafulila afungua kesi Mahakama kuu, kutetewa na Tundu Lissu

    Kesi yake mwenyewe, alikuwa mshitakiwa na wakili na alishinda !
  11. Mandela Jr.

    Rais Magufuli umetoa pole kwa Ufaransa, vipi kwa kifo cha Mawazo?

    Hakuna cha kuguswa hapo, 'Business as usuall'.
  12. Mandela Jr.

    Magufuli ni Rais halali, msiwadhulumu wananchi haki yao ya kuwakilishwa

    Lowassa alisema vile kwasababu yy cyo serikali, anaweza shitakiwa popote. Sasa ww ushahidi unaonesha ushiriki wa polisi dhahiri halafu ndo uwapelekee wachunguze? Na matokeo hayahojiwi popote kikatiba, unataka aupeleke wapi? Ndoo maana hawautowi. Kama mnashida sana na ushahidi anzeni uchunguzi si...
Back
Top Bottom