Recent content by Mamdogo

  1. Mamdogo

    Nisaidieni jaman mke wangu ataniua

    Pole sana Kaka, nampenda huyo mkeo kwa sababu ameamua kuwa mkweli. Angeamua kula kona ungesemaje? Ungekuwa mbogo. Kaa naye mweleweshe khs uchovu ulionao/maumivu unayosikia lakini usimfanyie mgomo. Kuna njia za kumridhisha... Naamini naye ni muelewa.
  2. Mamdogo

    Jipatie Nakala yako: Uongozi wetu na Hatima ya Tanzania by Nyerere

    Kitabu hicho hakijapigwa marufuku, kinapatikana TPH Bookshop mtaa wa Samora kwa bei ya sh. 7,000/- tu. Wiki tatu zilizopita, nimenunua version ya Kiingereza ktk duka hilo na cha Kiswahili pia kilikuwepo. Wahiwahi.
  3. Mamdogo

    Jipatie Nakala yako: Uongozi wetu na Hatima ya Tanzania by Nyerere

    Re: Kitabu cha J. K. kimepigwa marufuku?Si kweli kwani mimi nimekinunua wiki tatu zilizopita pale mtaa wa Samora katika duka la TPH. Vyote viwili vilikuwepo cha kiingereza na kiswahii na bei yake ni sh. 7,000/- tu. Waweza kupiga cm namba 0687 238 126 ili kucheki kama bado vipo. Wahi ndugu yangu.
  4. Mamdogo

    Mizengo Pinda atangazwa kuwa Waziri Mkuu tena

    Mutu, Nia ni kutaka kujikumbusha yaliyojiri mjengoni mwaka huu, hiyo 2009 ni makosa ya wachapishaji wa Hansard sbb hy statement ilitolewa mwaka huu mwanzoni.
  5. Mamdogo

    Mizengo Pinda atangazwa kuwa Waziri Mkuu tena

    ... Baada ya matangazo hayo kuna utaratibu katika Chama cha Mapinduzi unaitwa kutangaza nia huwa unaudhi sana ikiwa wanaotangaza nia wanakusonga kwenye jimbo. Sasa na mimi nimeona ni uungwana tu ili niweze kutangaza nia ya kugombea Uspika katika Bunge lijalo. (Makofi/Kicheko)...
  6. Mamdogo

    Elections 2010 WanaJF: Nina imani ya kushinda Ubunge Lushoto Mjini

    Kila la heri katika safari ya kuelekea MJENGONI. Ukifika uwakumbuke uliowaacha huku...
Back
Top Bottom