Recent content by Maisha Leo

  1. Maisha Leo

    Zitto Kabwe yuko kimya ishu ya January Makamba

    Sidhani kama February ana roho ngumu kama ya bwana Kabwela. Anyway, ukisoma vizuri na kumuelewa alichoandika bwana ACT ni kwamba bwana February akubali kwamba ameharibiwa political career kwa vitendo vyake na Muitaliano na anapaswa kujipanga ki upya kwa ajili ya mbio ndefu zijazo na sio hizi...
  2. Maisha Leo

    Muitaliano/Vicenzo Cozollino akanusha kumtetea Makamba

    Wewe ya kwako ya kitajiri lakini bado unahangaika huku kufuatilia mafukuto anayoyasabisha.
  3. Maisha Leo

    Mzungu/muitaliano akanusha kutapeliwa na January Makamba

    Ha ha ha ha, ndio mkuu wanayo. Nilitaka tu kuonesha kwamba hakua mwana familia ya Wabumbuli.
  4. Maisha Leo

    Mzungu/muitaliano akanusha kutapeliwa na January Makamba

    Isaiah 44:18 ► They know nothing, they understand nothing; their eyes are plastered over so they cannot see, and their minds closed so they cannot understand.
  5. Maisha Leo

    Mzungu/muitaliano akanusha kutapeliwa na January Makamba

    Hata kupiga napo kuna mwisho wake, sisi tunataka uwajibikaji wa kiongozi wa umma ambae analipwa mshahara kwa kodi za Watanzania, kama yeye ni kiongozi bora kama anavyo ji onesha siku zote apishe nafasi uchunguzi ufanyike na report zitoke na asafishwe kama atakua safi. Mbona bwana Mafuru aliachia...
  6. Maisha Leo

    Mzungu/muitaliano akanusha kutapeliwa na January Makamba

    Kosa la February ambae alikua naibu waziri kipindi hicho ni kwenda Family trip Dubai na huyo muitaliano kwa kudhaminiwa na kampuni ambayo inahusishwa kushinda tender serikalini (kama ikithibitishwa, kwa hiyo ni kosa ambalo bado anatuhumiwa). Ukisema kwamba hilo halijathibitishwa nitakuuliza...
  7. Maisha Leo

    Mzungu/muitaliano akanusha kutapeliwa na January Makamba

    Hakuna marefu yasiyo na ncha, ukweli wanao wao mioyoni mwao. Lazima tujifunze kwamba katika maisha kuna presha kubwa sana inayokuja na mafanikio na umaarufu, na sio wakati wote utakua na guaranteed happiness.
  8. Maisha Leo

    Zitto Kabwe yuko kimya ishu ya January Makamba

    Kosa kubwa alilolifanya ni la ku engineer interview yake mwenyewe na kujitengezea maswali yake mwenyewe na kujichanganya mwenyewe kwa kujieleza dakika 10 kwa mwandishi aliyejitambulisha kiurahisi kwa jina moja bila hata kutaja chombo anachokiandikia, au sio ?
  9. Maisha Leo

    Mzungu/muitaliano akanusha kutapeliwa na January Makamba

    Bwana February asema ameonana na jamaa mara moja Dubai kwenye hiyo interview ambayo bila shaka imetengenezwa na vijana wake kwasababu simu imepigwa mara moja akapokea huyo mwandishi ajitambulisha kwa jina moja bila kutaja jina la chombo anachoandikia habari na kisha makamba kujieleza kwa dakika...
  10. Maisha Leo

    Waziri January Makamba katika kashfa nzito ya kifisadi

    Nimekusoma chief, Asante. Kuna watu humu JF wanafikiri kwamba wao ndo wana authentic views na akili za kuchambua ukweli na uongo. Tujadili maada iliyoletwa bila kua na upande wowote, mbivu na mbichi.uwazi na ukweli unajengwa kwa mijadala huru.
  11. Maisha Leo

    Waziri January Makamba katika kashfa nzito ya kifisadi

    Akaunti anayo na ni verified user, lakini kuna huyo mtu anataka kutuaminisha kwamba yeye ndo anatumia akili zaidi kuchambua kwamba voice notes sio za kweli.
  12. Maisha Leo

    Waziri January Makamba katika kashfa nzito ya kifisadi

    Mkuu, mbona unatumia nguvu nyingi kutuaminisha kwamba wewe pekee ndo unatumia akili kuchambua kama hii habari ni ya kweli au si ya kweli?
  13. Maisha Leo

    Waziri January Makamba katika kashfa nzito ya kifisadi

    Mkuu, hadi wewe? Tangu lini umeanza kushambulia mtu badala ya kuongelea haja anayoileta?
  14. Maisha Leo

    Waziri January Makamba katika kashfa nzito ya kifisadi

    Mkuu , kinachokufanya useme kwamba huu ni uongo kutoka kwa dada Kimambi ni nini? Ni kwamba kwasababu unawafahamu January na Mwamvita vizuri au ni kwasababu dada Kimambi amewahi wadharirisha wengine huku kwenye mitandao ? Kwanini usiache nafasi ya January na dada yake watoke kupinga kwamba sio...
  15. Maisha Leo

    Tatizo la vipele vinavyotokana na kunyoa nywele kichwani chini ya kisogo (Acne Keloidalis Nuchae)

    Hello JF doctor, Pengine kuna thread kama hii lakini ningependa kuomba msaada kwa mwenye uzoefu wa dawa inayoweza kutibu permanently vipele hivi. Wengine wanasema ni barber rashes, lakini mimi kwa zaidi ya miaka 3 sasa natumia mashine yangu binafsi nikienda kwa kinyozi. Nimejaribu kutumia mafuta...
Back
Top Bottom