Recent content by mageta

  1. M

    Dar: Watu 7 wapofuka Macho kwa kujitibu Ugonjwa wa 'Red Eyes' kienyeji

    Zipo na ndio zinazotumika kutibu huu ugonjwa
  2. M

    TMK Wanaume Family v/s TMK Wanaume Halisi

    KR alibaki Tmk wanaume famili, lkn alikuwa anahudhuria na kushiriki shoo zinazoandaliwa na kundi la wanaume halisi
  3. M

    Festus Makerubi wa TBC1 na Mbwembwe Zake

    Rc mwenge, unamaanisha lile kanisa la mt maxmillian kolbe-mwenge ukivuka TRA kama unaelekea Afrika sana?
  4. M

    Upigaji Punyeto: Zijue hasara/ madhara pamoja na njia sahihi za kuacha tabia hii

    Je, na mwanaume mwenye tabia ya kubambia wanawake kwenye vyombo vya usafiri vilivyojaza abiria au kwenye mikusanyiko kunapunguza nguvu za kiume?..je kubambia ni kitendo cha punyeto pia?
  5. M

    Taji Liundi: Mama alitunywesha sumu, tuligundua neno Bongo Fleva

    Hivi kumbe Taji Liundi alikuwa mtoto wa msajili wa vyama Jaji George Liundi
  6. M

    Historia ya Mitaa mbali mbali ya Jiji la Dar Es Salaam

    DR. AGGREY: MGHANA MAHIRI ALIYEACHA HISTORIA TANZANIA HADI "KUPEWA" MTAA JIJINI DSM!!! DR.JAMES EMMANUEL KWEGYIL AGGREY, aliyezaliwa mwaka 1875 na kufariki takribani miaka 100 iliyopita, ni Mghana ambaye kamwe hatasahaulika katika historia ya nchi yetu, ingawa takriban 90% ya Wabongo...
  7. M

    Natafuta video clip ya Tangazo la Chai Jaba niwape wanangu kama cartoon

    Na kwny tangazo la maziwa ya COWBELL kulikuwa na katuni matata
  8. M

    Natafuta video clip ya Tangazo la Chai Jaba niwape wanangu kama cartoon

    Hata mie nalitafuta hili tangazo, lilitoka miaka ya 2004-2005, mziki wa kweny background n mzuri kweli..kuna jingine la hivyo hivyo na wimbo huo huo kwny background, lkn linaonyesha mwanamke na mwanaume, mwanaume anapanda juu ya meza kufunua sehemu ya celling board anatoa kimkoba cha mkononi...
  9. M

    Unakumbuka stori/mtu gani katika majarida makali ya zamani Tabasamu, Sani na Bongo?

    Anga za wenyew ni huyo huyo 4T NDILLA (MTAALAM)
  10. M

    Unakumbuka stori/mtu gani katika majarida makali ya zamani Tabasamu, Sani na Bongo?

    Hadithi/riwaya zake zilikuwa kali sana.. Kuna moja ilikuwa ikiitwa DAMU NZITO
Back
Top Bottom