Recent content by Magesi

  1. M

    KOMBORA za Mwisho Kuanza Kurushwa Oktoba 01

    Balozi Juma Mwapachu Amejiondoa rasmi CCM.
  2. M

    Balozi Juma Mwapachu ajivua uanachama wa CCM, hajaamua kujiunga na chama kingine

    Wakuu, Katika Taarifa yake ya Muda Mfupi uliopita Mwanadiplomasia Mkongwe na anayeheshimika Nje na Ndani ya Nchi,Mzee Juma Mwapachu ametangaza kujivua rasmi uanachama wa CCM. Amesema anajivua ikiwa ni siku moja kabla yakuadhimisha kifo cha Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere,Amesema atarejesha...
  3. M

    CHASO kufanya maamuzi magumu leo Dar es salaam

    Endeleeni kujifariji Gia ya angani haina kizuizi.
  4. M

    VIDEO: Mgombea Ubunge kupitia CCM akijinadi kwa Wapiga Kura

    Huyo Mzee alichukua fomu ya Urais Mwaka 1995 kupitia CCM Anaitwa Mwariko Yupo Moshi Ni msanii wa nyimbo za asili
  5. M

    Mabilioni ya Uswisi: Zitto kuwataja wahusika kwenye mkutano wa ACT-Wazalendo Mwembeyanga

    Teh teh basi endelea kumeza matapishi ya Tegeta.
  6. M

    Majibu ya Tundu Lissu juu ya mil. 230 ya kiinua mgongo

    Wamemdhulumu nani kila mtu atakula urefu wa kamba yake, Kuna Mijitu imekwapua EPA,TANGOLD,MEREMETA,KIWIRA,NBC,RADA,ESCROWA NA RICHMOND Mmekaa kimya na hata Majizi mengine yanautaka Urais na mnashangilia kama mazuzu halafu mnamshambulia Lissu kwa stahili ambyo imewekwa na mfumo mbovu wa utawala?
  7. M

    Majibu ya Tundu Lissu juu ya mil. 230 ya kiinua mgongo

    Acha upuuzi wewe hayo mafao yapo kisheria usijitoe akili.
  8. M

    Mabilioni ya Uswisi: Zitto kuwataja wahusika kwenye mkutano wa ACT-Wazalendo Mwembeyanga

    Akili zako zimemezwa na chale za Tegeta msalimie Mchange.
  9. M

    Mabilioni ya Uswisi: Zitto kuwataja wahusika kwenye mkutano wa ACT-Wazalendo Mwembeyanga

    We nawe umeshagongwa chale au? Vp yule chali ako wa Chuga amepona?
  10. M

    Majibu ya Tundu Lissu juu ya mil. 230 ya kiinua mgongo

    Na ataendelea kukuboa tu hamna namna Nyingine.
  11. M

    Majibu ya Tundu Lissu juu ya mil. 230 ya kiinua mgongo

    Uboss unabeba maana nyingi sana hata kukesha na kompyuta kumtetea tu tayari!
  12. M

    Mabilioni ya Uswisi: Zitto kuwataja wahusika kwenye mkutano wa ACT-Wazalendo Mwembeyanga

    Acha kushikwa akili dogo jaribu kufanya utafiti kuhusiana na huyo Ayat..lah.
  13. M

    Majibu ya Tundu Lissu juu ya mil. 230 ya kiinua mgongo

    Ulishawahi kujiuliza zile za BMK zilienda wapi au unahara tu hapa na vibwengo wenzio?
  14. M

    Majibu ya Tundu Lissu juu ya mil. 230 ya kiinua mgongo

    Kwa hyo ni heri huyo boss wako Zitto anayelaghai umma kuwa atachukua lakini atapeleka katika kituo cha watoto yatima?
  15. M

    Sakata la Maandamano Rombo, Ben Saanane aitwa na Polisi

    Muda Mfupi uliopita Ben saanane, Ameitikia wito uliomtaka kufika Makao makuu ya Jeshi la Polisi Wilayani Rombo,Ikumbukwe kuwa Ben saanane pamoja na Wanaharakati na wananchi Wa Wilaya hiyo,Wamewasilisha Barua yakuomba kibali chakufanya Maandamano ya Amani kupinga kauli za kidhalilishaji...
Back
Top Bottom