Recent content by M CM

  1. M CM

    Nina amkiwa sana. Hivi ndiyo nishakua mhenga hivi au ndo wameona sina hela?

    Msuli wa SUA umekuzeesha Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M CM

    Dada zetu wengi wanapambana kuolewa na wazungu tu

    Hapa mtaani kwangu napoishi Kuna jirani kajenga nyumba imekwama kwenye box Bado hajaipauwa Kwa miaka miwili Sasa. Juzi mwenye nyumba kamtuma mke wake kuwaonyesha nyumba hii dada mmoja mwenye mtoto wa kizungu akiambatana na zee la kizunguu wanataka kununua hii nyumba. Yaonekana Hawa jamaa siyo...
  3. M CM

    Car4Sale Tunauza magari kwa cash na mkopo pia tunaagiza magari nchi mbalimbali

    Maelezo bila picha inakosa mvuto tushawishi Kwa picha na bei elekezi Sent using Jamii Forums mobile app
  4. M CM

    Nina miaka zaidi ya 25 na sina mume wala mtoto, nachanganyikiwa

    https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/2064274/ Sent using Jamii Forums mobile app
  5. M CM

    Nina miaka zaidi ya 25 na sina mume wala mtoto, nachanganyikiwa

    Kuna post unatafuta mume na Sasa tukueleweje? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. M CM

    Nahitaji mwenza wa Maisha (mwanaume)

    Legeza masharti hasa dini
  7. M CM

    Natafuta mume

    @sweat candy karibu pm
  8. M CM

    Natafuta mume

    Hapo utakuwa unatafuta mwekezaji na siyo mume. Bila shaka DP world itakufaa Kwa hiyo mil 100
  9. M CM

    TPA: Serikali haijaipa DP World Kandarasi ya undeshaji Bandari ya Dar es Salaam kwa Miaka 100

    Tunakoelekea kama huenda tukawa nchi iliyofikisika zaidi dunian kiuchumi na kifikra. Tutakuwa tunawaza Nini maana urithi na rasilimali zetu zoote tumewauzia wagen.
  10. M CM

    Pitso Mosimane apewa $1 million baada ya kufanikiwa kuipandisha daraja(Al Ahly saudi arabia)kama alivyoahidiwa

    1000000×2300= 2,300,000,000 Mwamba pitso anaweka kibindoni 2.3 billion Tshs
  11. M CM

    Kimataifa Simba ni Majimaji mtupu

    Unaharisha kupitia mdomo
Back
Top Bottom