Recent content by Lucy Mbasha

  1. L

    Mawe kwenye kibofu

    Za saa hizi ndugu zangu. Leo nilienda hospitali na kaka yangu kumsindikiza kupigwa ultrasound. Baada ya vipimo kumalizika akakutwa na jiwe kwenye kibofu cha mkojo la 0.72mm. Amepewe cystones lakini hazimsaidii, nilikuwa naomba ushauri wa dawa ya asili au hata za dukani zinazoweza msaidia...
  2. L

    Natafuta kazi

    sawa tu kaka. niunganishie
  3. L

    Natafuta kazi

    hapana kaka
  4. L

    Natafuta kazi

    nipo Dar Es Salaam
  5. L

    Natafuta kazi

    nipo Tayari Kaka Yangu. nimemaliza Rungemba college.
  6. L

    Natafuta kazi

    Mimi ni binti nina miaka 27, nimesomea mambo ya maendeleo ya jamii (community development). Nina diploma ya community development. Naomba mwenye kuweza kunisaidia kupata hata sehemu ya kujitolea. Asanteni sana
Back
Top Bottom