Recent content by Loveness

  1. L

    Wa Mkwawa High School complex tujikumbushe makanyagio

    Mmemsahau mama Massawe jamani ! Mama alikuwa mnoko yule. Sijui hata sasa hivi yuko wapi
  2. L

    Wa Mkwawa High School complex tujikumbushe makanyagio

    Bora sisi tuliokuwa tunajilia msosi wa DH na vimboga vya majani vya wale wake za walimu.
  3. L

    TANZIA Abeli Motika (Mr. EBBO) Afariki Dunia

    pumzika kwa amani mr Ebbo
  4. L

    Joseph shamba vengu wa orijino komedi

    jamani tuzidi kumwombea hilo ni la muhimu zaidi
  5. L

    Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Asante sana, hii itatusaidia sana. Kama hutajali naomba namba yako unaweza kuni pm, nadhani nina mambo mengi ya kukuuliza kabla ya kuanza mradi huu.
  6. L

    tra vacancy

    Thanks
  7. L

    Tanzania Airports Authority EMPLOYMENT OPPORTUNITIES

    <br /> <br /> kweli akatafute qualification kwanza, ushauri mzuri huo
  8. L

    mtoto amezaliwa ubongo wake ukiwa nje.

    Jamani inashangaza sana, Tumwombee huyu mtoto na wazazi wake pia, kwani hakuna kinachoshindikana kwa Muumba
  9. L

    Baraza Jipya la Mawaziri hili hapa...

    Thanx Pasco for this habari.
  10. L

    Nyumba ya kupangisha inahitajika

    Vipi suala la maji? umbali kutoka barabarani? na kodi anaweza kupokea ya miezi sita?
  11. L

    huyu ni nani??

    ha ha ha ha jamani mmmh!!!!!!!!!!!
  12. L

    Msaada tafadhali

    Nataka kufugia Goba kunguru. Thanks kwa ushauri
  13. L

    Msaada tafadhali

    Habari wana jamvi. Jamani naombeni msaada kwa mwenye uelewa, nahitaji kufuga kuku wa mayai ila eneo ninalotaka kufugia umeme bado haujafika, je naweza kutumia nishati gani mbadala. Natanguliza shukrani zangu kwenu.
  14. L

    ushauri wa haraka jamani unahitajika

    Kama hampendi huyo mwanamke aliyenaye kwa sasa ni bora amwambie mapema asiendelee kumpotezea mwenzake muda, na kuhusu huyo mwanamke anayempenda akubali tu kuwa huyo mwanamke hampendi ki hivyo, kwasababu wazazi hawahusiki na ndoa za watoto wao, kama huyo mwanamke angejua kwamba huyo ni mwanaume...
  15. L

    Huyu mtoto wa kichaga kanibambikia au?...plse help!

    Unapaswa ufahamu mimba haiingii mara mbili hiyo hiyo mara moja mtu anapata mimba, so kukutana naye mara moja au mbili kusiwe sababu ya wewe kuikataa hiyo mimba labda uwe na sababu nyingine au uwe unaelewa siku za mzunguko wa huyo mwanamke.
Back
Top Bottom