Recent content by Lj Mwambar

  1. Lj Mwambar

    Kuhusu utaratibu Brigedia Jenerali na Kamishna Jenerali

    hakuna kamisheni polisi.polisi tayari ni serikali kamili.jeshi sio serikali lina kamishen kwa ajili ya utii kwa rais.wanaowajibika kwa rais moja kwa moja ni Kuanzia SACP polisi na Brigedia General JWTZ. be informed
  2. Lj Mwambar

    Serikali itolee ufafanuzi Mwanajeshi wetu wa JWTZ aliyeuawa huko vitani UKRAINE

    mbona karume zipo za marekani na ulaya na zina bendera.hata askari wetu mara nyingi wanavaa sare zisizorasmi
  3. Lj Mwambar

    RPC Wankyo Nyigesa ni kielelezo cha kuzorota kwa kiwango cha utumishi na nidhamu ndani ya Jeshi la Polisi

    maaana ya service bado ni jeshi . JKT- National service jeshi la maji-Naval service Special Air Service- kikosi maalum cha jeshi la anga UK nakushauri usitafsiri neno service kama huduma
  4. Lj Mwambar

    Shairi: Usichezee bahati

    nnzuri sana
  5. Lj Mwambar

    Ndugai asisahau, kadi yake ya CCM ndio inampa uspika, CCM wanaweza kuiondoa muda wowote na akawa raia wa kawaida tu

    huu uzi ni wa ovyo sana.kila mtu ana haki ya kuchalenji na kuunga mkono lolote nchi ni ya demokrasia.spika katoa maoni yake na wala si kwamba ndo anampinga Rais.
  6. Lj Mwambar

    Kigoma: Majambazi matano yameuwa yakijibizana na polisi.

    dah polisi mwenyewe.Hongera afande kwa kutulinda
  7. Lj Mwambar

    Kigoma: Majambazi matano yameuwa yakijibizana na polisi.

    mkuu umewasahau na polisi wenyewe pia wapo waliodedi wkfanya hayo mmbo
  8. Lj Mwambar

    JKT yasitisha Mikataba ya Vijana 854 waliofanya Uasi

    sasa mzee mwendazake anaingiaje hapo wakati alishatoa maelekezo kwa CDF? vijana waajiriwe
  9. Lj Mwambar

    Kigoma: Majambazi matano yameuwa yakijibizana na polisi.

    polisi waonevu sana wamewaua hao watu bila hatia
  10. Lj Mwambar

    Majeshi yote yana askari na majeshi yote yana Wanajeshi

    polisi ni pure civilian na hawaondoki na vyeo kama wanajeshi(kamishened) polisi akiacha upolisi ni kama afisakata aliekuaga zaman bora mwl au dokta nabaki na udokta wake. pia polisi ana power kubwa kuliko mwanajeshi ktk maisha ya kawaida.polisi anatoa amri na ishara zote uraian. MP hana...
  11. Lj Mwambar

    Majeshi yote yana askari na majeshi yote yana Wanajeshi

    mtu yeyote anaweza kutumia silaha yeyote.katika mafunzo(depo) kinachofundishwa ni ethics za jeshi husika uvumilivu umoja na utendaji,suala la utaalamu linakuja mbele ktk kozi za kujiendeleza utakuta specializashen kama CDO, Mizinga n.k vivyo ivyo kwa polisi magereza n.k. ndo maana majambazi wapo...
  12. Lj Mwambar

    Majeshi yote yana askari na majeshi yote yana Wanajeshi

    navowajua polisi hawana mda wa kushindania majeshi labda kushindania rushwa na kuonea raia
  13. Lj Mwambar

    Majeshi yote yana askari na majeshi yote yana Wanajeshi

    mtahangaika sana hakuna komparizon ya vyeo ktk idara mbili tofauti zenye shughuli mbili tofauti.hakuna mkubw awala mdogo kila mtu ni mkubw aakiwa kazini kwake.i.c konstebo shati tupu ana uwezo wa kumsimamisha birigedia jenero na kumuelekeza,pia PC ana uwezo wa kusimamisha msafara wowote wa...
  14. Lj Mwambar

    Jua haki yako unapokamatwa na Polisi

    bwana wee unadanganya watu.ingependeza ungeshusha na vifungu.suala la polisi kuingia na kusachi lipo kisheria eidha awe na warant au asiwe nayo.pia polisi anaweza kuvunja mlango wa nyumba bila wasiwasi. ukiwekwa chini ya ulinzi huna tena uhuru ivo utasikiliz amaelekezo ya afande. polisi...
Back
Top Bottom