Recent content by livingafrican

  1. L

    Mgombea wa CHADEMA Mufindi Kaskazini Ajiunga ACT

    Baada ya jina lake kukatwa na vikao vya juu aliyekuwa Mgombea wa Chadema Jimbo la Mufindi Kaskazini Bwana Utamwa Asheri amejiunga na ACT mchana huu. Amechukua fomuj kwa chama hicha tayari kwa kupambana na Mh Mgimwa wa CCM. Amechukua hatua hiyo baada ya jina lake kukatwa wakati aliongoza kura za...
  2. L

    UKAWA kuweni makini na hili mtashinda ila Ikulu hamtaingia

    Mkuu nakubaliana na hoja yako maana kilichopo sasa siyo kama UKAWA itashinda au la. Kilichopo ni kama wenzetu watakubali matokeo au la.
  3. L

    Hivi CCM imebashakiwa na wanachama wangapi!?

    Hata hao waliobaki nusu wanampigia RAIS
  4. L

    Mdahalo ITV: Umuhimu wa Maadili katika kuimarisha Amani, Umoja na Haki kuelekea Uchaguzi Mkuu

    Wakuu mambo mengine tunawapa vichwa bure hawa, huyu polepole ni nani hadi amchukie/ampende Lowassa? It makes no difference to me, mwache aendelee,debe tupu..
  5. L

    Magufuli: Kuna mgombea amesomea maigizo

    The thing ni kwamba ccm wanadhani watanzania ni wale wa mwaka 1961,too late makufuli
  6. L

    Capt. John Chiligati kuchukua nafasi ya Nape, hatogombea Ubunge tena

    Ama Kweli wahenga si mchezo ,walishasema kwamba mfa maji haachi kutapatapa
  7. L

    Dhoruba kali yaipiga Meli ya MV Serengeti katika Ziwa Victoria, yafanikiwa kutia nanga salama

    Tatizo ccm mnataka kuangalia mlikoangukia badala ya kuangalia mlikojikwaa. Hiyo meli hata kama ni kwa sababu ya hali ya hewa lakini angalieni mlolongo wa matukio ndani ya ziwa Victoria. Hakuna meli nzima,zote ni kuunga unga. Kiukweli ni kwamba ajali nyingine kubwa inasubiri tu kotokea lakini...
  8. L

    Lowassa ni Superpower, amemzidi maarifa Shetani

    Mkuu umeandika vizuri kwa hoja lakini ndo hivyo tena kila shetani na mbuyu wake. You can feel some people....
  9. L

    Dhoruba kali yaipiga Meli ya MV Serengeti katika Ziwa Victoria, yafanikiwa kutia nanga salama

    Hii habari huwezi kuitenganisha na siasa. MV Bukoba ,ndugu zetu wakaangamia. Imepita miaka 20 bado ccm wanatoa ahadi za uongo na hawajali. Baadhi ya wabunge walijifanya kugomea bajeti lkn wakawekwa sawa ndani ya chama. MV Victoria nayo majanga. MV Serengeti ndo hiyo,halafu eti uchague Magufuli...
  10. L

    Uzinduzi wa Mradi wa Mabasi yaendayo Kasi(BRT) Dar - Agosti 17, 2015

    Ndo mnajaribu kunenepesha mbuzi siku ya mnada?
  11. L

    Updates kutoka Zanzibar: Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais kwa tiketi ya UKAWA

    Mkuu si tu Mrema alipata 27% lakini upinzani( including CUF) walipata almost 40%. Hata mwak 2010 upinzani umepata lmosot 40%. Sasa ukiongeza hiki kimbunga UKAWA itakosaje 51%?
  12. L

    TBC yadanganya, hatua stahiki zichukuliwe

    Hii ya TBC inanikumbusha stori ya Mbuni Jangwani, kaficha kichwa chake kwenye mchanga na kuacha kiwiliwili nje. Kaona amemaliza kwamba kwa kuwa yeye hamuoni adui na adui haweiz kumuona, ni sheedah
Back
Top Bottom