Recent content by Lisa

  1. Lisa

    Mchinjaji wa Islamic State 'Abu Sayyaf' naye amechinjwa

    mbona tayari dunia nzima ipo chini ya information system, kila kitu IS au sijakuelewa
  2. Lisa

    Nani kasema wazungu si wachawi? Hebu ona wachawi wa London na vibweka vyao!

    babu Babu mtambuzi mm nilikuwa busy kiasi nilikuwa nashindwa hata kuingia kwenye mtandao kuchangia mada, ila namshukuru Mungu nimerudi.
  3. Lisa

    Mwanamke au mwanaume wako akijiunga Badoo muogope

    Mwenyezi Mungu anusuru vizazi vyetu, Loh!!1
  4. Lisa

    Kweli nimeamini uzuri wa mwanamke sio urembo, sio sura na pia sio tabia

    Hamna jema wengine ina maji,wengine kavu inanukia Loh!
  5. Lisa

    Wanaume tupeni majibu sahihi kwanini mnapenda kuwachumisha wengine dhambi?

    Yaani umeogea kitu ambacho kimetokea sasa hivi hapa ofisini, kuna mzee mmoja kaja kuomba msaada kwa mwanae, huyo mwanae tunafanya naye kazi aliwatelekeza miaka ya 70 sasa kaisha , hana kitu , kuumwa ndiyo kama sala kwake na huyu kijana hapa ndiyo kasoma na anapata mshahara mzuri,baba ndiyo...
  6. Lisa

    Kwanini Mama wa Kambo huwa na Visa?

    Utamchukiaje mtu ambaye hayupo kwa wakati huo? na hata huyo mtoto ana kosa gani? kama unataka kugombana gombana na mumeo au mke mwenzio na si watoto. mm huwa nawashangaa sana wanaowabagua na kuwatesa watoto wa kambo, mm ninao watoto wawili wa mumewangu nawalea na wala siwabagui na wala...
  7. Lisa

    Mwanaume anapodanganywa na msichana

    Sielewi ni kwa nn wanaume wakiona unakuwa naye karibu, unapiganaye story, unamtania, unaweza hata kuomba ushauri wa kifamilia yeye akili yake inakwenda moja kwa moja kwenye ngono, mm napenda sana kuwa na rafiki wa kuime ambaye tuko age wise na tunaongea mambo mengi lkn si kuishia kwenye ngono...
  8. Lisa

    Napenda sana bustani yenye msitu mnene wewe Je?

    yangu macho, ngoja niangalie mpk mwisho!!!
  9. Lisa

    Mumewe kamtoa outing Valentine, kamrudisha nyumbani katoka tena

    kuna boxing saa sita ya usiku siku ya valentine day?
  10. Lisa

    Hivi vijana wengine mnaharakisha nini kuoa?

    Ili kumuonyesha kuwa kakuwa na anamajukumu anza kumpunguzia matumizi uliyokuwa unampatia(pesa) na azitafute mwenyewe, akiuliza mwambie mwanaume wa kuoa haombi home anatafuta kwa ajili ya familia yake, pia mwambie atafute pa kuishi na siyo hapo kwako. utakuwa umemaliza baadaya ya kuona maisha...
  11. Lisa

    Maisha ni fumbo, imeniuma sana

    Finali uzeeni, na maisha ni kama gwaride siku Mungu akisema nyuma geuka wa nyuma anakuwa mbele na wa mbele anakuwa nyuma.
  12. Lisa

    Mumewe kamtoa outing Valentine, kamrudisha nyumbani katoka tena

    The Boss Hahahahahaahahaa!!!! hiyo boxing match ya usiku wa manane, Khaaaaaaaaaa!!! are u seriously?
  13. Lisa

    Sitamani kuzaa mtoto wa kike

    hapana , nilivyoelewa mm ni kwamba anashangaa mleta mada kuwapondea watoto wa kike wakati kwake yeye anaona wana faida kuliko hao wa kiume ambao wengi wao wameharibikiwa kwa kufanya mambo ya kusikitisha.
Back
Top Bottom