Utatoaje mawasiliano ya mtu hapa? Mtafute facebook kisha mtumie message kwa ukalimu wake atakusaidia tu. Ila miti siyo Iringa tu, hata kigoma inapandika na inakubali sana tena aina yote. Mimi nimeanza mwaka wa tatu huu nazidi kuchanja mbuga na naishi Dar, tutafutane 0767143040
Njoo twende Kigoma, msifikiri Iringa tu. Kigoma miti inakubali pia na bado ardhi bei nafuu sana. Pia soko lipo karibu-KANDA YA ZIWA YOTE WANATOA MBAO IRINGA. 0767143040
Mfuatilie huyo jamaa...i mean Meshack Maganga. By the way utajiri ni subjective, kwako utajiri una urate vipi? Kuanzia kiasi gani? au kumiliki nini ikiwa mtu ana eka hamisi za miti ikiwa kila eka min. ni Tshs. 18,000,00/- x 50 eka unapata kiasi gani.??? Wee kaa hapo wenzio wanatajirika...
Habari? Mimi nina mabanda ya kutosha kuku hata 8000, yapo Morogoro. Nimechemka kisima tu kuchimba maana hakuna maji ya bomba karibu. Naomba ni pm namba yako tuwasiliane if wewe au mtu mwingine yoyote aatakuwa interested kushare gharama za kisima na kisha tufuge ila akubali kwenda kwa...
Habari wadau,
Mimi ni mdau wa zao la muhogo, sijasomea kilimo ila kazi yangu imenifanya nilijue hili zao kwa asilimia kubwa tu, kuanzia upandaji hadi ulaji. Nimepata wazo la kuendeleza utumiaji wa zao hili kwa hapa Dar baada ya kuona muhogo ni zao zuri na lenye bidhaa zaidi ya 100 lakini kwa...
Kiwanja cha 2m au below ni eka nzima na kwa sasa msimu wa kulima unaingia bei zitazidi kushuka pia. Ila kwa mashamba hasa kwa mifugo bei laki 3 au chini/mapatano tu na muuzaji. Kuna jamaa jirani yangu ana eka mia (milima na mabonde) kwa 40m, ni pale sangasanga/njia panda mzumbe. Mimi sio dalali...
Basi unania mbaya mkuu....mimi mwenyeji maeneo hayo hata ukinitukana poa tu ila huko kuna wezi sana wa viwanja feki. kuweni makini tu jamani. Hapo mkundi/makunganya kuna hifadhi ya watu wa misitu ya taifa, ni eneo kubwa sana na wameng'oa mawe/vigingi/nguzo call whatever ili mgeni akienda...
Hapa vipi mkuu,?
Bei=42mililion japo inaweza kupungua, halina switch board
Unipower Generator
124 kw
155 kva
2 x 35 amp
215 timer
seperate tank 276 liter
Deutz diesel engine
185 hp 136 kw
Made in German
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.