Hii story ina utata sana kwa form three kuwa expert wa kiwango hicho. Hatutegemei form 3 kuzidi miaka 19, ni ngumu sana kuwa na uzoefu huo uliokuwa nao wewe
Huyo ni negative, hapo imetokea mistari miwili, mmoja umefifia kwa sababu amekiacha kifaa kwa muda mrefu. Majibu sahihi ni nadani ya dakika 15 tu.
Ukikiacha kwa muda mrefu kinaleta mistari miwili kama hapo juu
Daaah jamaa ni mtu wa kawaida mno, yani sifa ulizompa ni uharo mtupu. Akili nyingi ..?? Are you serious..??
Akili nyingi umezipima wapi..??
Mara mia nimpe Nay wa Mitego (True boy) ila sio huyu Nikki wa Pili kazi kujiona na kujitangaza eti yeye ni msomi mara anasoma sana vitabu blaah blaah kibao
Many men will find this as new thing but it’s very true, Simply you have written the brain. Vijana wahuni wa mtaa hawana hela na wanagombaniwa na warembo.. Gari, pesa na nyumba ni vitu muhimu ila sio vya lazima kumvutia mwanamke..
Huwezi kutembea na nyumba wala hela zako zote na pia sio lazima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.