Mmmmh kama kweli hii stori ni ya kweli, basi ameamua tu kutumia njia hiyo kukudanganya hivyo ili siku mkikutana usishangae kukuta hana usichana wake. Lakini pia haikuzuii wewe kumsamehe
Kwa hili Police nitawatetea sana,kwa yale mafuta kama wangekuwepo pale yangetokea kama ya Singida tena maake najua wananchi ni wabishi mabomu ndo yangewakimbiza,sasa sidhani kama Polisi wa mwanzo kufika wangekuwa na hayo mabomu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.