Recent content by leo dada

  1. leo dada

    Natafuta mwanamke wa kuoa

    Bila kilimanjaro vi smirn off wine kidogo mara moja moja spirit of the nation tutafarijiana vp humo ndani??? Hata mizagamuo na miuno itakua haina ubunifu.
  2. leo dada

    Mpatie vyakula hivi kuepuka Mtoto kula mchanga na mjamzito kula udongo

    Hahahaaa! Mi sinaga tabu za kubagua ila hivyo hapo juu ndo vyakula pendwa
  3. leo dada

    Mpatie vyakula hivi kuepuka Mtoto kula mchanga na mjamzito kula udongo

    Mimba zangu zote sijawahi kula udongo au vitu vichachu...... Vitu vyangu pendwa nikiwa na mimba Kilimanjaro, nyama choma ya mbuzi samaki achemshwe na chumvi tu, mihogo , maini, maji niyawekee limau na kiugali cha muhogo. Nimemiss heka heka za mimba.
  4. leo dada

    Ni bima ipi ya afya bora kukata? Tupeane uzoefu na ushauri

    Usihangaike kujielezea kwa wajuaji wa jf.
  5. leo dada

    Malamba Mawili, Msikitini: Mtoto ajinyonga hadi kufa, inadaiwa alikuwa anasoma Malamba Mawili Darasa la 6

    Huo mti utakatwa uishe,,,, magamba ya huo mtiyakitengezwa dawa akapewa mtoto wa mama mkwe mbona atakoma
  6. leo dada

    Breakfast yako kuu kwa sasa ni ipi?

    Mie mama wa nyumbani ratiba yangu ni hii Jumatatu napika mkate wa ufuta na maziwa Jumanne : viazi vya kukaanga kachumbari na chachandu Jumatano: mihogo mixer viazi na karanga za kuchemshwa Alhmisi : maandazi na rost inategemea mzuka wa siku hiyo Ijumaa : kiporo cha maharage na wali sababu...
  7. leo dada

    Nimechoka kusindikiza wenzangu kwenye madini

    Hapo ndio mnadanganywa Ngekewa ni aina ya mvuto unakua nao, unakumbuka mwenda zake alivyobadili upepo kipndi kile cha uchaguzi??? Na si kila dawa inahitaji damu ya mtu wako... Kwenye madini bila ndumba utaishia kuwasindikiza kina nyanda madirisha
  8. leo dada

    Nimechoka kusindikiza wenzangu kwenye madini

    Nimekushauri ninachojua mengine utajazia mwenyewe
  9. leo dada

    Nimechoka kusindikiza wenzangu kwenye madini

    Niko kwenye madini sina uzoefu kivile lakini mambo ni zaidi ya uyajuavyo.... Hiyo losi uliyokula ni ndogo sana kwenye hii field nakushauri mdogo wangu anza kununua mifuko kama mtaji wako ni mdogo au kama una mtaji mkubwa nunua dhahabu kamili kawauzie ma tycoon wa kazi,,,, ukishindwa kuna wakubwa...
  10. leo dada

    Ukweli kuhusu utajiri wa ndagu

    Haya nenda mpka mulusagamba huko,, uliza wenyeji ukiona wapata tabu uliza kwa mzee wa matuta na maji aliemlimisha matuta mtu na wazifa wake akaleta dharau kilichomkuta anakijua yeye sa hivi ni story,,,, halafu uchawi ni gharama za pesa, muda, na mali hakuna cha rahisi kisicho na gharama..... Pia...
  11. leo dada

    Nina miaka 15 ndani ya JamiiForums

    Nilijiunga jf 2012,,, ilinilazimu niiache ile id yangu na kuanza maisha mapya nikawa naingia kama guest baadae nikajiunga na id hii 2023.. Nawamiss sana baadhi nawaona napita kimya. Hongera kwa kutimiza miaka hiyo ndani ya jf.
Back
Top Bottom