Inategemea, cha msingi kuheshimiana tuu for the both side wether in da same professional or not issue ni Upendo na kuheshimiana tuu hayo megine mbwembwe tuuu!
Mungu anafanya njia hata pale panaposhindikana! Mungu ni Muweza wa yote!Kila kitu kinawezekana kwa Imani ya Mungu wetu mkuu! Haijalishi majaribu ya aina gani tunapitia lakini tujipe moyo kuwa yote yanapita na tusikate tamaa
Asante sana Mtambuzi kwa somo zuri, mimi mwenyewe ni ushuhuda tosha katika familia yetu tupo watoto watatu na wote tumefika chuo kikuu kwa nguvu za mama yetu mpendwa ambaye alisimama kidete kuhangaika kwa ajili yetu alijinyima sana na Tunamshukuru Mungu watoto wote hatukumuangusha kwenye elimu.I...
Mungu pekee anayetuwazia mema anajua ni lini atakupatia mwenza wako so ishi inavyompendeza Mungu jaribu kushika neno lake na kulitii! Yeye peke yake ndio msaada wako! Atakufundisha ni wapi umekosea na ufanye nn ili ujirekebishe! Kuw na imani na usonge mbele.Jaribu kuhudhuria kwenye seminar za...
Acha hizo ofa.!huyo ni sawa na mama yako! Epuka mazingira ya kushawishika, kuwa na msimamo umeenda kufanya kazi na sio mapenzi cause um sure u have somebody so plz muheshimu mpenzi wako na umthamini kuwa na utu ndugu
Jaribu kuenda pale department ya psychiatric muhimbili utasaidiwa sana na tatizo litaisha! Um sure of it na uwahi hilo mapema kabla hilo tatizo halijaanza kuathiri ubongo wake .take it serius
Na huo sio uchawi ndugu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.