Sipingi mgomo wa madaktari ila naangalia nani anapata madhara zaidi kwa hili.
Pia,nawaza kila mtu akitumia taaluma yake akagoma itakuwaje?
Hebu tujiulize,serikali ipandishe mishahara ya madaktari halafu wahasibu na Viongozi wengine wa sekta ya afya wagome.nani atawalipa hao madaktari?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.