Recent content by kweyamba_dave

  1. kweyamba_dave

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Mkuu, Nadhani Sekretarieti wanaongozwa na kanuni na Taratibu zilizowekwa ili kuboresha utendaji wao. Dhamana ya kuidhinisha matokeo ya saili imewekwa kwa bodi ya sekretarieti ambayo hukutana mara 4 kwa mwaka Kwa mujibu wa kanuni zao. Wakikutana ndio huidhinisha waombaji wa usaili na wale...
  2. kweyamba_dave

    Michezo michafu dhidi ya uchumi, ukweli ni upi?

    Hizi sarakasi unazozisema zipo kisheria kabisa na wala hakuna makosa. BOT lazima icontrol fedha na hutumia quantitative easing kama njia ya kuregulate mzunguko wa fedha nchini. The man is against the ethics in banking what he is trying to expose ni legalized Theft in banking systems. It goes...
  3. kweyamba_dave

    Michezo michafu dhidi ya uchumi, ukweli ni upi?

    pesa haitaweza kuwa unregulated Kwenye aina ya maisha tuliyonayo.
  4. kweyamba_dave

    Michezo michafu dhidi ya uchumi, ukweli ni upi?

    Banks tends to limit what you can take from your very own money. Sababu ni banks are not always liquid enough to pay out pesa yote wateja wake wameweka as in zenyewe pia hufanya biashara na benki nyingine na form nyingine ya assets kama MBS and the likes Mzee anasema thats theft, leo hii...
  5. kweyamba_dave

    Wasifu wa Dkt. Moses Mpogole Kusiluka, Katibu Mkuu Kiongozi mpya

    Hiyo ni CV ya 2014 nadhani. Baada ya hapo alikuwa kamishna wa ardhi (T), katibu mkuu wizara ya ardhi kisha katibu mkuu Ikulu. Wewe unataka katibu mkuu kiongozi awe na CV ipi zaidi ya hiyo? Huko kwenye academia umesoma machapisho yake?
  6. kweyamba_dave

    Kwanini ktk awamu ya tano ajira binafsi na umma zilikata

    Nilikuwa hapa pia.. Unakumbuka mada yoyote iliyokuwa ikimsema JK kwenye kutengeneza ajira na kutoa Ajira kwa wenye sifa? Kwa ngazi zozote zile skilled na unskilled.
  7. kweyamba_dave

    Kwanini ktk awamu ya tano ajira binafsi na umma zilikata

    Wewe ulikuwa hapa wakati wa JK??
  8. kweyamba_dave

    Rais pekee ambaye aliingia Ikulu akakuta kuna pesa Hazina alikuwa Kikwete. Waliofuatia...

    Hivi nani aliwaambia watu kuwa hazina ni kakibuyu kamejaa pesa? Hakuna mtu huacha pesa hazina.
  9. kweyamba_dave

    Mwl.Nyerere; Mswada wa Haki za Binadamu,Demokrasia na Katiba Mpya Havifai Kwa Nchi Masikini kama Tanzania.Je Tanzania Sasa Imeendelea?

    Mwalimu ni moja kati ya watu walioandika na kuandikwa sana. Read his books na usome machapisho yanayomuhusu. Hajawahi kusema maneno ya aina hii.
  10. kweyamba_dave

    Je, Kuna nadharia kwenye hesabu za kutoa?

    Ulipokuwa kidato cha kwanza pia ulijifunza juu Ya nadharia behind kutoa na kujumlisha. Tena inafundishwa kupitia mstari wa namba.
  11. kweyamba_dave

    Kwanini Wayahudi Walilazimisha Mtu Mwema Yesu afe na mtu muovu Baraba aishi?

    Maarifa hayafiki ukingo mkuu.... Kumekuwa na versions nyingi za kipi haswa kilitokea Yerusalemu. Nikiri sijawahi kusoma juu ya version hii ya Baraba labda kwakuwa hakuwekwa kwenye limelight kama wengine, less is known about him. Though inafikirisha. Historically the Romans never spared anyone...
Back
Top Bottom