Recent content by Kweche Lwambo

  1. K

    Lowassa ampa Apson kiasi kikubwa cha fedha Kutekeleza maazimio ya kikao cha akina Mbatia

    APSON na LOWASA wapo tumbo joto sasa baada ya mpango wao kuumbuliwa
  2. K

    Lowassa ampa Apson kiasi kikubwa cha fedha Kutekeleza maazimio ya kikao cha akina Mbatia

    Mkuu, LOWASA akiwa Mkuu wa nchi, hilo linawezekana kwa vile tu ni swahiba wake
  3. K

    Lowassa ampa Apson kiasi kikubwa cha fedha Kutekeleza maazimio ya kikao cha akina Mbatia

    Huyu Lowasa anahangaika bure. Anadhani Urais ni kama kufuga nywele nyeupe kichwani? Na wewe Apson, mbona unazidisha mzigo wa madhambi wakati uliyonayo ni makubwa?
  4. K

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumanne 5 Agosti 2014, Mjadala wa Bunge Maalum la Katiba

    Mkuu, kuna wengine mambo yao yamekataliwa ndo maana wanaona mchakato kuwa ni wa haramu
  5. K

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumanne 5 Agosti 2014, Mjadala wa Bunge Maalum la Katiba

    Pamoja sana Komredi. Tupe vituuu sisi tusiokuwepo mjengoni
  6. K

    CHADEMA waungana na CCM kudhoofisha ACT

    Mkuu, sidhani kama kuna kibaraka wa ccm ambaye ni msukule wa CHADEMA
  7. K

    CHADEMA waungana na CCM kudhoofisha ACT

    Lumumba hatuwezi kuwa na tawi la mchezo wa kuigiza
  8. K

    CHADEMA waungana na CCM kudhoofisha ACT

    CCM ni chama cha siasa na ACT ni mchezo wa kuigiza
  9. K

    CHADEMA waungana na CCM kudhoofisha ACT

    Hivi kuna mtu mwenye akili kweli anaweza kuhangaika na misukule ya CHADEMA iliyoshindikana huko?
  10. K

    Baada ya Mdahalo: Nani anazuia upatikanaji wa Katiba Mpya?

    Naona unayeyusha mjadala. Leo mmebanwa ile mbaya
  11. K

    Mbowe: CHADEMA tupo tayari kusubiri Miaka 25 Kusubiri Katiba Bora

    Hongera sana Mbowe kwa kuuona ukweli. Japo umechelewa lakini watanzania tunaupokea kwa mikono miwili
  12. K

    CHADEMA Njooni na Majibu ya Kuhujumiwa na CCM na Usalama wa Taifa vinginevyo Mnajidhalilisha

    Mkuu, umeandika vema na umemuuliza mambo ya msingi sana. Kama ana akili atakuwa amekuelew
Back
Top Bottom