Inawezekana kabisa,lakini ukweli mwingine hata Kiswahili hajui vizuri kama sio hajui kabisa, kajitahidi sana na kawa mwenye bahati sana kufika hapo alipo, upande mwingine namkubali sana kwenye kusimamia miradi, kitu ambacho watanzania wengi hatuwezi,hii tu yaweza fanya nimpigie kura angalau...
Nakumbuka mwaka 1995 pale Musoma Nyerere alisema angekuwa yeye ndo anapiga kura angempigia Wandwi wa NCCR,tukajua hapa CCM Chali lakini kilichokuja kutokea acha tu
Ila The Boss,nakumbuka kipindi Magu anaingia madarakani ulielezea sana umuhimu wa kununua Ndege na nikaona mheshimiwa kafuata ushauri wako but ghafla nikaona unaponda tena ununuzi wa ndege,shida ilikuwa nini
Nimecheka sana,yaani watu wakielewa maana ya ulichokisema ndo wataelewa kwa nini Sumaye alijiunga Chadema dakika za mwisho😂😂😂,kweli TUSOME KWA HATUA, KITABU CHA PILI
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.