Recent content by kupatwa

  1. kupatwa

    School life

    Sio kwa sisi vipanga
  2. kupatwa

    Wazoefu wa kutongoza !

    Pesa zipo nyingi , tatizo wa Kula nae hamna
  3. kupatwa

    Wazoefu wa kutongoza !

    kivipi hii
  4. kupatwa

    Wazoefu wa kutongoza !

    Mamaa Facebook unaonaje ukanipa shortcut , niache kutongoza , I mean unikubalie tu
  5. kupatwa

    Wazoefu wa kutongoza !

    Nazungumzia wadada wanaojiheshimu (yf materials ) sio madada poa wenye hela tupo wengi mjini
  6. kupatwa

    Wazoefu wa kutongoza !

    hata uwe na pesa nyingi , bado kuna technique zinahitajika umpate umpendae
  7. kupatwa

    Wazoefu wa kutongoza !

    Raha ya pesa uipate ujanani Kaka mshana, ilibidi niwe busy 6 yrs kuandaa flow ya pesa
  8. kupatwa

    Wazoefu wa kutongoza !

    Wakuu habari za usiku! Baada ya ubize wa miaka mingi sasa nimerudi mtaani rasmi , cha ajabu mbinu za kunasa mdada wa kuoa sina kabisa , yaani nilivyoanza kuwa busy enzi hizo na Uwezo ukapotea. ... em wazoefu tupeni mbinu , muwasaidie na wale midomo kilo 100, naogopa Kula ckukuu mwenyewe
  9. kupatwa

    Vitu gani vinakuvutia zaidi kutoka kwa mwanamke au mwanaume?

    Napenda mwanamke msafi, msomi na mchaMungu
  10. kupatwa

    Female orgasm ( kufika kileleni)

    ndio inawezekana! ukiongea nae anapata hisia Kali za kushiriki tendo, then ukikata simu sisi jirani zake tunakusaidia kumfikisha,
  11. kupatwa

    For the first time in my adult life, nimepatikana kwenye mapenzi

    na kupenda kwenu pesa ! sisi tunawabamiza na Pete zenu za ndoa plus za uchumba SIOI MIMI
  12. kupatwa

    Kuchaguliwa, kuapishwa Na kuanza Kazi Rais wa Marekani

    the period between is for special training, ulinzi na utawala wao sio kama ule wa kutegemea bandari ya magogoni na barabara ya ocean road na utawala wao sio ndani tu km nchi changa
  13. kupatwa

    Upweke unanitesa jamani

    Maisha ya kuwa single matamu sanaaaaa , karibu kwenye kundi hili .... fanya kazi kwa bidii , fanya mazoezi , Kula vizuri , huzuria nyumba za ibada , wait for the true love to come ! Acha kuburuzwa na hisia za kuendekeza
  14. kupatwa

    Nina bamia nahofia labda siwaridhishi wanawake

    What Is The Average Penis Size? Pitia hii, usikute hofu tu....
  15. kupatwa

    Ushauri: Baba anampendelea mke mdogo kuliko wa ndoa

    Hama nyumbani, jitegemee uwe na Mali kama za mzee
Back
Top Bottom