doooo! dawa ni kutumia kinga ndo tuweze kupona,lakini mipaja hiyo inatisha sijui ndo unaliinamisha ni balaa tupu,na likute mtu anayejua kusugua lazima linywe ndoo ya maji.
labda niwape historia fupi wana JF kuhusu huyu mgonja aka mgonjwa,huyu alikuwa ni afisa sheria wa idara ya uhamiaji,ni mwanasheria by proffessional,lakini kuna tetesi kwamba alikuwa ni chakula cha mkurugenzi wa uhamiaji aliyemaliza muda wake bw.kihomano,na hizi tetesi uenda ni za kweli kwasababu...
mimi binafsi mpaka leo uwa sijui hii redio clouds uwa ni ya nani,yaani wafanyakazi uwa wanajilopokea wanavyoona wao hawana ethics za kiutangazaji.sina uhakika kama wana training yeyote kwa kazi wanayoifanya.kuna wakati wanatamka maneno kama watoto wako karibu unazima redio.maneno machafu bila...
sasa hii nikuingilia uhuru wa watu wa mavazi,acha watu wajionee usafiri,kama mtu ana fito aendelee kuvaa hijabu,hiyo sheria ilishapitwa na wakati ndio maana mawaziri waliopita wakaamua kuachana nayo,mbona makanisani watu wanatinga vimini na ibada zinaendelea kama kawaida,mimi naona waziri...
mzee mwanakijiji umegusia mambo mengi ambayo kwakweli yameibua hisia zangu nyingi na kwa wengine waliyo soma thread hii pia.leo kwenye gazeti la tanzania Daima lime-report kwamba kuna hakimu aliyetajwa kwa jina la jamila nzoa,alitiwa mbaroni na PCCB wakati akiwa mbioni kwenda kupokea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.