Mi nikiwa bwege basi wewe utakuwa fisi, maana palipo na mnyama mfu ndipo fisi wakusanyikapo nikimaanisha kuishabikia CCM na utawala wake ni sawa na fisi walokusanyika kusibiri minofu ya mnyama mfu
Nahisi Kenya wanatupita mbali sana kwa mambo na sera ya utaliii,na ndo mana idadi ya wageni kule kwao kabla ya korona walikuwa wanatupiga fimbo,hivi vijikodi visivyokuwa na mbele wala nyuma vitapeperusha wageni.
Subiri uone
Wewe kinakuuma nini,kama nchi inaendeshwa kwa misingi ya usawa na haki?.
Kama ni wawekesaji pia wana macho na akili ya kuchambua ngano na pumba,haupaswi kuwa na hofu kiasi hicho.
Hofu yako inanithibitishia kuwa hakuna usawa wala haki katika nchi yetu
Mm naona kuna shida kubwa ndani ya serikali,siku watalii wakikimbia asilaumiwe mtu kuwa ndo anaichafua taswira ya nchi huko nje,maana kama kodi hiyo itatolewa na wenye mahoteli ,hapo tutegemee wamiliki wa hoteli pia kupandisha entry fee katika hoteli na pia na gharama nyingine kuwa juu lengo...
Kwa mwendo huo,tutegemee hata na wananchi kuja kulipia kile kitanda anachokilalia nyumbani kwake,kama kodi ya ardhi tunalipia kama wenye mahoteli,kama wao watalipia kitanda kwa nini mwananchi wa kawaida naye asilipie?
Nadhani shida ni mgonano wa kimaslahi ndo unaotesa taasisi na miradi mingi hapa nchini,kutakuwa na wakubwa wana shule yao huko Arusha na wameona St.Jude ni tishio kwa uhai wa shule yao,hivo wafanye figisu kuifungia lengo shule yao ipate wateja,wanamadai ya kodi,kama ni kodi leo ndo wameiona...
Hilo jambo lipo na liko njiani,madaraka ni matamu sana,alikuwa anajisemesha mbele ya umma kwenye kampeiinii ili aonekane mtu mwema anyefuata katiba kumbe ni sifuri,Wakirsto mna shida sana kwenye madaraka ,na huu wimbo umeimbwa na wakiristo sijui watawala wenu wasali wapi AMBWENE KAIMBA WIMBO WA...
Mambo mengine kama ni kweli yanakera sana.
Ukimwi kwenu
Matetemeko kwenu
Ebora kwenu,kila baya kwenu,ninyi mna mkosi gani,maneno kama haya ya chooni ndo yanaigarimu cCm bukoba msitafute mchawi.
Hapo kuna maswali mengi yasiyo na majibu.
Pindi polisi wanapokuja kupekua kwako ni sharti wao kukaguliwa kabla ya kuingia kupekua,kwa wananchi wengi hawajui huu utaratibu hivo kama polisi wana mission yao ni ngumu kwa wananchi wengi kufanya hivo,hivo kujikuta wameingia kwenye mtego.
Endapo...
Kama mawakala wako hawataapishwa kwa mambo ya ki.....nge ya nini wanachama wako wakapige kura wakati kwenye chumba watabakia CCM?
Atakaye enda kuilinda kura yako ni nani?.
NAUNGA MKONO HOJA KAMA AMEPATA MAONO HAYO
Alidhamiria kutoleta maendeleo kutoka sirikalini,bali yaliyofanyika ni kwa ufadhili toka nje au ndani au misaada ambayo inatoka ikiwa imetaja eneo husika.
Alidhamiria utalii unakufa katika kanda hii,ila hapa alisindwa pakubwa maana eneo lenyewe kila kona ni vivutio vya utalii, na haya yote watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.