Recent content by kombah

  1. K

    Yanayojiri Mahakama ya Kisutu Kesi ya Tundu Lissu Vs Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania 8/2/2017

    Wenye Taarifa kutoka mahamani kuhusu Tundu Lisu
  2. K

    Lema amgomea Mrisho Gambo kwenye uzinduzi wa ujenzi wa Hospitali ya mama na mtoto

    Mgeni rasmi hamtaki mbunge awepo hapo na ndio aliyetafuta mfadhili na ardhi
  3. K

    Kutoka Bungeni: Fao la kujitoa halipo badala yake limeletwa fao la kutokua na ajira

    Hata mimi nimepata hasira kali sana, mpaka najisikia tumbo la kuhaaaaa
  4. K

    Wana CCM 3000 wajiunga CHADEMA

    Pichaaa pichaaa Poweeeeerrrr
  5. K

    Wana CCM 3000 wajiunga CHADEMA

    Weka kithibitisho yaani picha halisi hatutaki blabla tu
  6. K

    Kuroiler Breeds

    Tupatie namba ya simu kwa Arusha tukutafute
  7. K

    Kamati Kuu ya CCM yakutana saa nne asubuhi, Lumumba

    Mambo si mambo mwaka huu lakini Mungu ndiyo mwenye uamuzi wa mwisho, Atakaloamua ni lazima liheshimiwe na wote.
  8. K

    Kinana kupitia Wanasheria amuandikia Msigwa kumtaka amuombe radhi

    Msingwa kama kinana anataka kuombwa msamaha mimi nakushauri muumbe lakini sisi tunajua ni ukweli ulivyo
  9. K

    Ungependa nani awe mbunge wako kupitia chama cha chadema hapo mwaka 2015?.

    Anna mghwira huyu dada Jembe Chadema Singida mjini mpeni kazi huyu atawasaidia kuliko Dewji anakaa Dar tu
  10. K

    Kadi ya CCM yamponza Slaa... Sasa ashinikizwa kujiuzulu nafasi yake!

    Mimi ninayo ya Tanu nimeweka kama kumbukumbu.Kadi ya Dr Slaa si hai kwanza hailipiwi imekufa ipo kama kumbukumbu kisheria si mwanachama na huku mtaa kadi nyingi zimekufa hazijalipia
  11. K

    Wananchi wa usa river walishwa sumu kutoka kampuni ya maua ya kiliflora

    Wananchi wa Usa river juzi walipata wakati mgumu baada ya mabomba yote ya maji kutoa maji yenye rangi ya maziwa.Wenyeviti wa vitongoji waliona hali hiyo wakachukua hatua haraka ya kwenda kwenye chanzo cha maji na wakakuta mafundi bomba wa Kiliflora ndio waliounganisha bomba la mbolea ya maua...
  12. K

    Nassari asusia kikao cha baraza la madiwani kupinga ugawaji wa viwanja

    Wenzio maji wanakunywa na kuoga karibu na wewe uje kunywa maji yalioletwa na mbunge
  13. K

    CHADEMA yashinda uwenyekiti mji mdogo Usa River leo

    Kwa mujibu wa mwenyekiti wa CHADEMA kata Ndugu Paulo,amesema Kamanda Malisa ameshinda kwa kishindo katika uchaguzi huo na kumuangusha mgombea wa wa CCM ndugu Tom wa kitongoji cha Llima Sioni. Pamoja na utundu uliotumika wa CCM kuongeza madiwani watatu nao wapige kula lakini juhudi zao ziligonga...
  14. K

    Joshua Nassari adanganya "live" ITV

    Sisi tunamkubali, Tunamuamini ndio maana tumemchagua. na wewe nenda kamchague Zungu na wenzake wala Rushwa na wengine wanasinzia Bungeni
Back
Top Bottom