Wafilisti hawapo kwa sasa ila eneo walilokaa Baada ya dhamira yao ya kuvamia misri kushindikana ni pwani ya kanaan ambapo leo hii wanaoishi hapo ni wapalestina jina lililotokana na Neno hilohilo wafilisti
Hawa wafilisti walivuka Mpaka kutoka ulaya huko ugiriki enzi hizo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.