Recent content by Kiwalaa

  1. K

    Sijui nianzie wapi?

    Kaka yangu wanawake ndo walewale tu unaweza kuoa mwingine akawa mshenzi kuliko Mkeo mi nadhan msamehe mkeo mrudishe home alee watoto ila kikubwa kapime DNA na watoto wako upate uhalali wa watoto na wewe
  2. K

    Afisa utumishi Shirika la Maendeleo DDC-Kariakoo

    Habari za Wana JF, Humu ndani bila shaka wote wazima humu leo nakuja na hili la Shirika la maendeleo Dar es salaam DDC lililopo Kariakoo wengi mkisikia neno DDC mtaikumbuka Bar maarufu iliyopo Kkoo ila DDC ni shirika pia lina uongozi wake uliopo hapo Kkoo shirika hili ni la Umma lililo chini ya...
  3. K

    Sababu Zinazomfanya Reginald Mengi Achukiwe Na Vigogo Wa Serikali Ya CCM Ni Hizi Hapa

    Mengi nadhan angetulia akaboresha sekta yake ya Media hii kuvamia fani za watu kujenga mabifu na viongoz wa serikali ni mbaya sana kwake kama mfanyabiashara Ipp Media na viwanda vyake vya Soda na,cha Maji ingawaje alimzulumu Mzee Swai ndg yake na akamfanyia fitna akamuua kibiashara na kumrudisha...
  4. K

    Nani anafaa kuwa Waziri wa ardhi na maendeleo ya makazi?

    Mhe.Dr Faustine Ndungulile anafaa akapewa uwaziri wa Ardhi
  5. K

    Yahusu utumishi

    Kuwa Mvumilivu tegemea matokeo kutoka kwenye trh za 20 mwezi ujao km ulifanya usaili mwezi huu wa Oral
  6. K

    Yahusu utumishi

    Kuwa Mvumilivu tegemea matokeo kutoka kwenye trh za 20 mwezi ujao km ulifanya usaili mwezi huu wa Oral
  7. K

    Amini Usiamini, huyu dada ana date na kaka yake wa damu, dunia imeisha jamani

    House of Commons Hivi unadhani Prof Muhongo mjinga alivyosema cku ile bungen hauwezi kutenganisha Energy charge na Capacity Charge hilo halikwepeki ndo wanawake wa cku hizi hao Jombaa
  8. K

    Alichonifanya huyu dada, sintokaa nisahau

    Yaan Muda unaoupoteza na ulioupoteza kufuatilia pus mpk kigamboni ndo Muda nawaoutumia kina Mama Tibaijuka kupigia kama dili za Bil1.6
  9. K

    Kampuni ya Simu ya Tigo Ni ya Mwanasiasa Gani Mbona Haifukuzwi kwa Huduma Mbovu?

    Naona umeshaanza kuwa na tabia ya kusema uongo km Prof wetu wa madini ulishasemaga haujawahi kumiliki line ya tigo ktk maisha yako unatumia line ya airtel leo unatuambia ulipigiwa simu na customer care wa tigo akipenda utoe maoni yako khs mtandao wa tigo
  10. K

    Wanaomtetea Prof. Muhongo, jibuni maswali haya

    Hahaha mkuu usitokwe na Povu hili ni swali tu nimeuliza wala haustahili kutoa matusi..hata yesu wakati anapelekwa kwa Pilato,kuna watu waliona Yesu alikuwa na makosa ya kuadhibiwa
  11. K

    Wanaomtetea Prof. Muhongo, jibuni maswali haya

    Hivi jaman naomba kuuliza kosa la Waziri wa nishat na madini Prof Muhongo ni lipi! embu tuweke ushabiki pembeni tuulizane juu ya hili sipo kumtetea nipo ktk kutaka kujua kosa lake kubwa lipi! Na jee km ndio kosa lake hilo ktk hili la Escrow basi ata yule aliyesaini kutoka kwa zile hela pamoja na...
  12. K

    Anahitajika SugarMamy tu

    Nafasi hii najitokeza natafuta sugarmamy sasa hv mapenzi na vijana wenzangu sitaki maana ake kuumizana vichwa nimechoka. Nataka kutulizana na SugarMamy aliyetayari tukutane PM.
Back
Top Bottom