Mkuu mimi nina dada yangu anatarajia kuanza ufugaji wa kuku wa mayai. Kwa jinsi nilivyo ongea naye hana utaalamu mkubwa. Kama sijachelewa naomba na mimi unitumie mchakato mzima kwenye PM. Pili mimi nimgeni kwenye hii site na nimefurahi sana wana JF kwani hii site imenifumbua macho sana. Hapo...
Nimefurahi kuwa sasa nimekuwa member. Dondoo za hapa ni nzuri sana na nimekuwa nikizifuatilia kama mgeni kwa muda mrefu sana. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki JF.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.