Ogopa sana mtu atakaetumia nguvu kulipinga hili..........
Ndo mhanga namba Moja.
N.B. Wapare wanaongoza kudanganya makabila mengine kuwa wao ni wachaga.
Asipoelewa hili wazo ndo basi tena.
Vita ya kwenye ndoa mwanamke huwa anachoka na kuzeeka lkn sio kufa......ila upande wa pili hawaeleweki ndo maana now days .....
Ni kuwa makini ....mtu anataka asepe na familia nzima..
Mtoa mada usishindane na mwanamke maana nae akisema aliwe hata kwa siri...
Soi Afghanistan pekee.....Bali na nchi nyingine nyingi ambazo makafir hawana uhuru wa kuabudu.
Kuna moja miaka ya hivi karibuni ETI wanawake ndo wameruhusiwa kuendesha magari......Daaaah
Mi sio mtaalam lakini nimeona nitue nishee kidogo nnachojua.
Japo mitumba Iko tofauti tofauti.....nguo za watoto,za wakubwa, ...kariakoo mtaa wa narung'ombe...... Na mingine mnazi mmoja. Ila ukiweza kununulia mzigo wako godown usiende kwenye hayo maduka ni nafuu kidogo maana mizigo wanashusha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.