Recent content by Kirungu

  1. K

    Kasheshe la Mafuta: Dar kimeanza kuwaka, vituo kadhaa vyaanza kutoa mafuta!

    Freedom is not coming tomorrow, it is coming now. Cause we will never reach tomorrow, we are living now therefore we should bring changes now.
  2. K

    CCM: Nani akienda Igunga atalikomboa jimbo?

    Jimbo kama ilo ni la kukata na kutupia mbwa.
  3. K

    Bilioni tisini na tano zimetoka wapi?

    Mimi sishangai kwa hilo, kama mtu mmoja ana trillion 3 itashindikanaje kwa selikari kupata hizo hela. Ndugu, hela za nchi hii zimekaliwa na watu, ziko kwenye account binafsi za watu. Dawa ya nchi hii ni kuchukuwa uamuzi wa Misri na Tunisia.
  4. K

    Hotuba ya Lema imefunika Hotuba za Mbowe, Zitto, Mnyika na Mawaziri Kivuli wote wa CHADEMA

    sioni kama ni sahihi kusemsa hotuba ya Mh Lema imefunika hotuba zingine za mawazili vivuli, kwani naamini hotuba zote zinalenga kutetea maslahi ya wananchi na kuikosoa serikali, mambo mengine ni technical tu katika kuandaa hotuba na namna ya kuisoma. Tuache ushabiki, vinginevyo hatuna tofauti...
  5. K

    Wabunge wa CCM kutoka kusini (Ruvuma, Mtwara, Lindi) mnalala....

    Labda wewe utuambie unatoka kusini ipi maana unachosema akiendani na hali halisi ya mikoa iliyotajwa kwenye hoja. Hizo barabara unazozungumzia nizipi? ukiondoa barabara ya kutoka Dar iliyojengwa na mkapa? Mtoa hoja amesahau, pia wanaongoza kwa kurupuka kutoka usingizini na kugonga meza...
Back
Top Bottom