Recent content by Kintiku

  1. K

    Madhabahu yenye nguvu za Mungu

    Tabata Shule pale
  2. K

    101.4 FM BBC World Service Dar es Salaam

    Tunateseka sana kwa kweli.
  3. K

    Polisi aliyeonekana kwenye Video iliyosambaa akipokea rushwa achukuliwa hatua

    Uliyemrekodi huyo askari hutapata amani na furaha katika maisha yako. Umeharibu maisha ya kijana mdogo kwa ushenzi wako mwenyewe Kama hupendi rushwa ungelipa faini, askari hakukuomba rushwa Wewe ndio ulimpa
  4. K

    Polisi aliyeonekana kwenye Video iliyosambaa akipokea rushwa achukuliwa hatua

    Hilo tukio sio la kweli ilikuwa staged ili kuthitibitisha (prove) kuwa madreva ndio hutoa rushwa bila hata kuombwa na askari. Watu wengi wamekuwa wakilaumu kuwa askari ndio huanza kuomba rushwa wakati sio kweli
  5. K

    Nasumbuliwa na UTI,nipeni njia mbadala wapendwa.

    Kakuingiza chaka wala usipitie
  6. K

    Siku 10 za Maombi katika Kanisa lolote la Waadventista Wasabato

    Leo nimepita pale Magomeni nimeona jinsi jengo lao jipya upande wa Morogoro rd wanavyojiandaa kutengeneza lile "jicho" pale juu. Maana kila kanisa lao lina hilo jicho
  7. K

    Mayai ya kisasa yanapatikana

    Mkuu bado supply hii IPO?
  8. K

    Siku 10 za Maombi katika Kanisa lolote la Waadventista Wasabato

    Umenena vema kuwa madhehebu mengine, lakini Wakristo wanasali J2. Wayahudi wao ndio halali kabisa kwao kusali Jumamosi maana wao si wafuasi wa Yesu ila nyinyi wenzangu wenye kutaka huku na kule hamna kitu zaidi ya kugeuka kuwa cult. Huwezi kutaka kushika torati na hapo hapo unajifanya...
  9. K

    Yupo wapi CAZ-T mwana wa Komba

    Ni Malafyale kwa upande wa mama
  10. K

    Siku 10 za Maombi katika Kanisa lolote la Waadventista Wasabato

    Kwani ameshamaliza "investigative judgment", na roho 10,000 zimeshapenya?
  11. K

    Siku 10 za Maombi katika Kanisa lolote la Waadventista Wasabato

    Msabato sio mfuasi wa Yesu, yeye ni mfuasi wa Ellen G. White. No matter how harder they try to disguise as Christians..they will remain SDAs] Pll0
Back
Top Bottom