Recent content by King'ang'anizi

  1. K

    Kumpoteza mtu unayempenda!!

    Kama umeachwa huku ukiwa huna tatizo na msumbufu kwa mwenzako pole sana. Yanawatokea wengi sana. Mapenzi siku hizi kama yapo ya ukweli ni kwa wachache sana. Unaweza ukawa na mtu ukidhani mnaongea lugha moja katika penzi lenu kumbe mwenzio ana lake. Jipe moyo ni aina nyingine ya mungu kukuambia...
  2. K

    Huwa inamaanisha nini?

    ladies kuacha nguo kwa wanaume wanaona kuwa ni security, na kama umechunguza wanaweka mahali ambapo sio pa kufichika sana. hii ikiwa na maana kama kuna mdada mwingine ataingia ndani ajue kuwa mji una mwenyewe. sasa ukitaka ugomvi hamisha kaifiche chini ya boksi asiikute alipoiweka, kwao ni...
  3. K

    kwa kweli kuwa mbali na yule umpendae somtymes ukifikiria unaweza ukajikuta we ni mtu

    sina comment nyingi katika hili, ila mara nyingi "long distant relationship" sio nzuri kwa afya ya mahusiano, mara nyingi watu wenye mahusiano ya jinsi hii hujikuta wakisalitiana japo si wote.
  4. K

    Alama ya nyoka ....!

    Duh hiyo kali
  5. K

    Mtoto wa nje ya ndoa

    naungana mkono na wadau waliopita ya kuwa "only truth shall set U free. Kumbuka hata kama baba mzazi halisi hana uthibitisho kuwa mtoto uliyenaye ni mwanawe but DNA inaweza kuthibitisha dada angu. The earlier the better labda mzee akiujua ukweli atakasirika kwa muda na hata kukufukuza but if...
  6. K

    Mchumba 'angu amemegwa halafu ka confess

    nakushauri anza mkuu, hawabadilikagi hao, tabia ni kama rangi ya ngozi huwezi kuibadili
Back
Top Bottom