Recent content by kidonto

  1. kidonto

    TANZIA Zuchi Zuchero, mpiga picha na Mwandishi wa Habari afariki kwa ajali

    Hapo Wazee ungewapigia Simu ya Deal, Gari ingekua na Mafuta.
  2. kidonto

    Nitajie wasanii wawili Tanzania ambao ni genius sana

    Umeuliza Wasanii Genius ama Wasanii wenye Elimu ya Chuo..!?
  3. kidonto

    Waziri Jerry Silaa ana kitu, atafika mbali, abarikiwe

    Alitaka kumpa Rushwa Waziri.
  4. kidonto

    Jeshi la Polisi lapekua nyumba ya Boniface Jacob, laenda na GJ Malisa Moshi kupekua nyumba yake

    Hivi kwa kesi kama hii si ni kupoteza bure pesa za Walipa Kodi...!?
  5. kidonto

    Uliwahi kumchapa mkeo makofi, mlichukua siku ngapi kurudi kwenye normal life?

    Mimi pia nilishawahi Kumchapa Wife Makofi...! 4 tu lakini ya Kisawasawa, yani ile kushoto kulia, kushoto kulia....! Kalia hapooo, akanyamaza... Akanuna siku mbili tatu, yeye mwenyewe akaanzisha Mastory...! Mkuu usijari, hivyo ndo sahihi, usipige kama Ngoma, Makofi tu ya nguvu yanatosha...
  6. kidonto

    Mtanzania mwenye umri wa miaka 60 akamatwa na Mihadarati Ethiopia

    Mdomoni, unameza Moja moja coz zinakua kama Size ya Pipi Kifua za zamani....!
  7. kidonto

    Rwanda itafaidika na nini kupokea wakimbizi toka Ulaya

    Anataka Achanganye Damu, baada ya miaka 20, mambo ya Ukabila yatapungua coz watu watakua wamechanganya sana Damu....!
  8. kidonto

    Mtanzania mwenye umri wa miaka 60 akamatwa na Mihadarati Ethiopia

    Nadhani Kuchomana ni rahisi kama Muhusika wanamvizia mwisho wa safari yake, kama vile ingekua Uganda....! Ila ukiwa Transit ujue ni unashuka kwenye Ndege hii, unasubiri Ndege ingine juu kwa juu.
  9. kidonto

    Mtanzania mwenye umri wa miaka 60 akamatwa na Mihadarati Ethiopia

    Alianza kwanza kuhojiwa ndo akapelekwa kwenye Machine....! Viwanja vingi vya Ndege, unapoanza Safari yako, kunakua na Scanner ambapo Mizigo yako yote inapita hapo, sometimes mpaka Viatu, then wewe kama wewe unapita kwenye Detector Machine....! Huyu ametoka Latin America salama salimini...
  10. kidonto

    Mtanzania mwenye umri wa miaka 60 akamatwa na Mihadarati Ethiopia

    Panapitika sana, Mzee alikua na wenge tu...!!! Nimeshashuhudia mtu akikamatwa hapo Airport ya Ethiopia, alikua mbele yangu kwenye Q, yule Brother alikua hawezi kutulia, kila kitu anatizama yeye, kavaa Kofia flani, Silver kama zote Shingoni.....! Binafsi nilisema huyu mtu amebeba mzigo, hapo...
  11. kidonto

    Msaada: Mke wa mtu anataka kuhamia kwangu

    Mmmmh..... !!
  12. kidonto

    Pongezi kwa waliopaza sauti kupitia JF kuhusu anajiita "Kiboko ya Wachawi"

    Jana tu nilikua nasikiliza Kipindi chake....!!!
Back
Top Bottom