Ni kwel wameshkwa pabaya sana,so unakumbuka ile staili ya kuondoka na sanduku ka kura na kulirudisha kura zmejaaa pomoni za kijan???? Tukifanya ivyo c tutapeta???
Kumbeeeeeeeee ndo maana nlikuta cku moja chooni mtu kajaza sink la chooni kwa kinyesi nkaisi labda kulikua na harambeee ya kunde chooni !!! Sasa nmepata jibu
Tungejiuliza alikua anafkiria nn wakat anaandka? Na huyo aliye andkiwa anajisikiaje? Na aliwwzakujibu swali aliloulizwa la kuletewa zawad? Na kwa nn mume amuandikie kwa kalam na sio SMS ya kawaida ya kweny SMU? Note "Kmya kingi kina kishndo kikubwa "
Kisas gan Mungu alipe ? Mungu huyo si ndo alisema mshahara wa dhambi ni mauti? Kanumba alivyokua anabaka kulipwa mshahara wake bado mnataka alipiwe visas tena?
Dhambi kwa Mungu hazina udogo wala ukubwa!!! Kubaka mtot mdog kwa kanumba ilikua niaibu sana kwake na jamii,tena alianza kumbaka akiwa na miaka chin ya 15!!!
Ashawai kustkitika kwa kitendo cha mwanae kutembea na mtot mdogo ? Badala ya kumlinda kama mdogo ake akawa anamla tena kuanzia siku nyingi akiwa under 16? To me kanumba alikua mhuni asiye endana na alivyoku anaonekana na kujinasibu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.