Recent content by Kete Ngumu

  1. Kete Ngumu

    Kero ya Mabasi ya Mikoani kuchochea udini

    Mzee siupande yale hufungulia kaswida mwanzo hadi mwisho na mahubiri ya Mtume Muhamadi Muda wote shida nini? We ndio unaleta udini.
  2. Kete Ngumu

    Uliwahi kumchapa mkeo makofi, mlichukua siku ngapi kurudi kwenye normal life?

    Unauliza sisi wenye wake wanne au wa mke mmoja? Kuoa mke mmoja ni kujifunga gereza la mateso. Wenzetu Waislam wapewe maua yao.
  3. Kete Ngumu

    Hakika na waambieni wake zenu waajiriwa ni wake zetu makazini

    Nyani huwa haoni kirakawe kalioni bali hucheka cha wenziwe. Mkeovunaemuacha nyumbani ni mke wetu mtaani au mke wetu ktk nyumba tuliopanga au ni mke wetu ktk kikazi ulichomfungulia mjini au mtaani popote. Nikwambie tu mwanamke ni yule yule popote alipo hajawahi kumuacha mwanaume salama
  4. Kete Ngumu

    Mke wangu ataja jina la mwanaume mwingine wakati wa tendo la ndoa

    Kiukweli kwa sasa ndoa zina matatizo mengi kuliko mahusiano ya kawaida.
  5. Kete Ngumu

    Mama anamtetea mke wangu pamoja na kunisaliti

    Pole mzee baba, ulikosea kumpokea alipoletwa na wazazi, hapa ndipo ulipopigwa. Binafsi yalinikuta japo ni tofauti kidogo, wazazi walinijia juu mbaya kuhusu kumrudisha, mama akatishia hadi kuniachia laana nikamwambia we niachie tu hiyo laana mama haina shida, baba akawa mkali nikamwambia bora...
  6. Kete Ngumu

    Msaada: Mke wa mtu anataka kuhamia kwangu

    Hakuna ujinga kama kujisifu kuchukua mke wa mtu, bado huwajui wanawake hata robo, iko siku utajuta, hawa ni viumbe wasiotafsirika wala kutabirika.
  7. Kete Ngumu

    Wanawake wenye bikra wapo wengi sana zanzibar hata wasomi wa chuo kikuu

    Hawa huwa wanakua wamekufa marinda yote hili liko wazi. Zanzibar mnajitahidi sana kuipromote lakini ndio chimbuko la usenge, chimbuko la vijana ambao shule hakuna kichuani, chimbuko la ujinga mwingi hata wa kudini mfano kumnyima mtu kula hadharani wakati wa Ramadhan, huu ni ujinga.
  8. Kete Ngumu

    Dogo amenikera mpaka nahisi kumchukia mazima

    Unatafuta sababu tu za kumkataa, huna haja ya kuanzia mbali au kuzunguka sana, we mkatae tu yaishe. Hata wewe ukijakuwa na familia hatakuomba msaada pia coz utakuwa na majukumu muhimu, mbona kakujibu poa sana?
  9. Kete Ngumu

    Uchumba wenu ulichukua muda gani Kabla ya ndoa?

    Mwaka na nusu, ndoa miaka 18 tupo ktk steji ya 3 yani tumeachana
  10. Kete Ngumu

    Kardinali Pengo atua ofisini kwa Paul Makonda kumfanyia maombi maalumu ya baraka na kumpongeza kwa uteuzi

    Basi kipindi cha nyuma kidogo nilikuwa nikisikia kardinali nilikuwa natetemeka naheshimu naogopa ila tangu nijue dunia imejaa utapeli mwingi na watu wanatumia dini kujinufaisha nasali kwangu na Mungu wangu.
  11. Kete Ngumu

    Kwa hatua iliofikia, nataka nigombane na mama mkwe live live

    Baba umevutugwa vibaya mno basi ulivyoandika ni kama sisi ndio mama mkwe zako, hasira umezileta huku badala ya kwa mama mkwe. Tuliza akili, tumia busara tumia hekima, jitafakari na wewe umekosea wapi kabla ya kumvaa mama mkwe. Isije kuwa unamnyanyasa mwanae halafu unataka kuleta undava wako kwa...
  12. Kete Ngumu

    Iran wameiambia Marekani wakiingilia vita vyao na Israel, tutafunga Ghuba ya Uajemi kama Bahari Nyekundu

    Hakuna Taifa la Kiislam linaliweza kuitisha Marekani, hili halina mjadala. Hii sio vita ya Iran na Israel bali vita kati ya Urusi na Markani ktk ardhi ya Iran.
  13. Kete Ngumu

    Hili swali kutoka kwa wanawake huwa limekaa kimtego Sana

    Hili ni darasa kwa vivulana vya kuanzia 2000 ila sio kwa wakongwe.
  14. Kete Ngumu

    Wafungwa Wanawake wapatiwe tendo la ndoa?

    Yani unataka kusema kuna wanawake wanawake hawawezi kufikisha mwezi bila ku sex?
  15. Kete Ngumu

    Utajiri wa wafanyakazi wa TRA uchunguzwe

    Hawa watu ni wala rushwa kubwa namba 1 hapa Tanzania, sio kwamba serikali haijui inajua na inawafumbia macho, wana utajiri mwingi wa kutupwa waliouficha maeneo tofautitofauti na kwa majina ya ndugu zao. Siku moja mzigo wangu ulikamatwa wakaufikisha ofisini kwao, baada ya jitihada flani...
Back
Top Bottom