Aaaah! wewe ndiyo ushangawe! mbona hata humu JF tabia hiyo ipo tele?
In short ni kwamba, kuna watu wanadhani wakiongea kiingereza hadhi yao inaongezeka.
Bado lipo hili wakuu?
Mambo yalipandiana baba mkwe alileta ka-invoice, ilikuwa lazima ni kalipe ndiyo nifanye mambo mengine. Sasa hivi nadhani niko shwari kiasi.
Alipokuwa na dhamana ya uongozi ni siku nyingi, na hata JF haikuwepo sasa hivi tunamjadili kwenye JF. Kila kitu kina wakati wake, kuna kuvuna, panda, kulia, kucheka n.k
Hata yeye anawaandama watu kwa wakati tofauti, haanzi nao toka wanazaliwa??
Kuwa makini bwana!
Watu wa UWT itabidi pia wachunguze, inawezekana hawa jamaa wameuawa 'kijasusi' katika shughuli za kijasusi, polisi peke yao inaweza kuwasumbua sana kama ni hivyo! Lakini baadae tuambiwe nini hasa kilitokea?
Mzee, hili nadhani siyo kweli.
Huyu jamaa ni mmoja kati ya waandishi waliiogopa kabisa kulitaja jina la Rostam Aziz alipotajwa na DK Slaa kama ni mmoja wa mafisadi wakubwa TZ, alikaa kimya, kimya kama hakusikia vile!!
Hadi hivi leo, anaweza kuandika kisa kinachohusu Rostam lakini hamtaji moja...
Mkuu hiyo kweli, maana huwa wanapenda sana kuwatumia vijana wadogo kwani uwezo wao wakufikiri unakuwa bado mdogo, wanawa jaza mambo kibao! vijana wanaamini wanaanza kutekeleza UGAIDI!
Hebu mwangalieni sasa hivi anavyo watumia watu ambao anajua ni wadhaifu sana linapokuja suala la dini! anajua wao taifa baadae dini kwanza!
Watu hawa ni Issa Shivji Prof., Haroub Othman na sasa hivi kamvaa Masoud Kipanya;
Kwa wasiojua au wasikuwa na kumbukumbu nzuri huyu Masoud Kipanya alikuwa...
Nikweli kabisa mkuu!, zile hela zinazotumika zingeweza kuwasaidia wananchi ktk jmbo husika! Kuliko kuzitapanya ovyo wala bila sababu! Sijui tukoje sisi!!?
Kuongezea utamu hapa ni kwamba Mheshimiwa Ulimwengu anakaudini fulani wewe mfuatilie kwa makini utagumdua;
Kwamfano kwenye gazeti la Raia Mwema wiki hii ametoa kama kuponda kwa mifano imani ya wenzie huku akiwa hajagusa kabisa imani yake! kaandika hivi,.
"Yesu Kristo asingewambwa msalabani...
Mkuu nimekupata!
Dini zenyewe hizi tumeletewa tu na watu weupe, na tumechukua kila kitu kilichomo tukaziacha dini zetu na hata yale mazuri ambayo ilikuwa nazo.
Kwamfano;
-tulikuwa hatuvai nguo lakini tuliheshimiana bila kubakana hata kama tumekunywa pombe zetu za asili! lakini wakaja weupe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.