Recent content by katrina kwambiana

  1. K

    Interview Eastern Zone NMB

    Aya asante kwa taarifa
  2. K

    Taifa liadhimishe Komba day

    Ndio ndo wanaonesha hapa na pia nimeckia wasifu Wa marehem sijasikia lolote kuhusu kafanya nn kwa hii nchi nasikia ccm tu.
  3. K

    Taifa liadhimishe Komba day

    Mmh kwanza nahitaji kujua uyu komba ameifanyia nn nchi hii?maana hapa TBC wanarusha kipndi cha kuagwa uyu komba hii ni television ya taifa na cyo ya ccm how wanampa uyu komba air time iv...na hapo kuna pesa zetu za walipa Kodi zinatumika kuendesha hii shughuli..mbona wanakufa mawaziri ila...
  4. K

    Interview Eastern Zone NMB

    Bravo English una maanisha fdback ni dis week?
  5. K

    Interview Eastern Zone NMB

    Samaha vp ulifanikiwa?na je mmeambiwa training ni Lin?
  6. K

    Akina dada huu utaalamu utawacost sana, hivi inakuwaje unaweka viungo sehemu za siri kama pilau?

    Pia kwa cc wanawake tuamin kuwa kila MTU aliyeumbwa ana mvuto na upekee wake ivo ivo ulivyo ujue kuna MTU ambae halali kwa ajili yako da same apply kwa wanaume..tusiharibu na kuchezea mahekalu ya mungu kisa kumplz mwanaume au mwanamke uliyeandalia atakuja tu na atafurah kwa jins ulivyo ....eeh...
  7. K

    Akina dada huu utaalamu utawacost sana, hivi inakuwaje unaweka viungo sehemu za siri kama pilau?

    Nimependa sana maneno yako mazur mno ila nina swal nan anaeharibu akili za wasichana Hawa?ni nyie wanaume yan mmekuwa too much selective mahitaji yenu ni makubwa mno...ukianza swala LA mahips makalio makubwa na ayo mengine aliyoeleza Dada nyie ndo mnahitaj hayo ivo mnamfanya MTU afanye ili...
  8. K

    Forever Living imeniachanisha na mke wangu

    Iyo biashara cyo nzur kabsa kwanza inaharibu akil za watu hasa cc wakike watu wanaacha kufanya vtu vya mcngi wanastik kwenye forever na iyo biashara ni ngumu as wateja weng ni wale wenye pesa tu
  9. K

    Ni aibu kwa wadada kutokujua kupika

    Huwa siwaelewi nyie mnaosema hamjui kupika kwanza mnawaaibisha mama zenu wanaonekena wamefail kutimiza moja ya majukumu yao kama mama LA kutomfundisha bint kupika....na nikickia MTU Wa ivo huwa nahis uwezo Wa darasan mmmh
  10. K

    Ni aibu kwa wadada kutokujua kupika

    Kama ni mwanamke Wa kitanzania au afrika kupika ni swala LA msingi sana .nn sifa ya mama katika familia kama hujui hata kupika?utakuwa na mtoto mdogo akianza kula utamlisha nn?au atakuwa anapikiwa na Dada Wa kazi?unazan atapka vzur? Nilichojifunza katika maisha wasichana wengi wanazan wakisema...
  11. K

    Kila anayetafuta mke/mume kigezo kazi kwanini?

    Ni kwel ila pia Mungu huwa anatupa tunachoomba kila mtu huwa anavgezo vya mtu kila anempenda ndiyo maana u aweza kuona we hakufai ila akamfaa mwenzio ila na pia kazi ni muhimu, kwani mtu ambae yupo idle ni rahisi kufanya vitu ambavyo ni vya ajabu.
  12. K

    Ni kweli kuna couples wamekutana hapa Jamiiforums na kufunga ndoa?

    Kila MTU mungu anajua alipompangia akutane na mwenza wake.. Wengine bar safarin harucn na sehem yoyote ambayo inamkusanyiko Wa watu...na kama ndo chaguo la mungu kwako bac ujue hakuwez kuwa na shida yoyote ivo mwenza anapatkanq popote
  13. K

    Mchumba wangu katumia namba nyingine kunitongoza

    Hah hah jaman kwel akil za watu znafanya kaz fasta duuh nimependa huu uwongo
Back
Top Bottom