Recent content by katibasitti

  1. K

    Nauza maziwa fresh na mtindi kwa bei rafiki

    namba yak o tafadhali
  2. K

    Kwanini wanaume wanatongoza mabinti wenye umri mdogo?

    Mpumbavu sana,unaanzaje kumtunzia mtu heshima ilhali yeye kashindwa kutunza heshima yake mwenyewe? kha! kamuumbue tu kwa kweli bazazi huyo
  3. K

    Yamenikuta: Mchepuko umetibua ndoa

    gumu sana. ni dhambi isiyosameheka. Mungu alipoweka uzinzi kama chanzo cha talaka alijua mwenyewe jinsi moyo wa binadamu ulivo kwenye kusamehe hiyo takataka
  4. K

    Yamenikuta: Mchepuko umetibua ndoa

    mpuuzi, uchepukaji wako ndio dio jinai? ni zaidi over n above jinai. yani nikiona mchepukaji huwa natamani nimshoot atangulie kuzimu... gadem
  5. K

    Kuwa ugenini mateso

    asilimia kubwa ya wanaolalama hapa ni dizaini hiyo...lawama,hawana shukrani
  6. K

    Kuwa ugenini mateso

    ndivyo wengi wao/wote walivyo... si walichokitaka walshakipata wawakumbuke wa nini hasa mkiwa choka mbaya
  7. K

    Kuwa ugenini mateso

    kabisa. nakubaliana na wewe. wengi wao hapa wanaolalama ni sawa na hao unaowasema. wanakuja na kuleta amri zao kwenye nyumba za watu, wakionywa au kuwekwa sawa kuwa ishi maisha uliyoyakuta sehemu wanaona manyanyaso, muwe na shukrani msipende kupeleka sheria zenu kwa watu na hiyo mitizamo yenu...
  8. K

    Baadhi ya wanaume wanatabia ya kueleza mapungufu ya wake zao kwa michepuko

    hilo tusi mara elfu likurudie. kama limekugusa jirekebishe sio unatukana watu mitandaoni kama punguani.
  9. K

    Baadhi ya wanaume wanatabia ya kueleza mapungufu ya wake zao kwa michepuko

    Ulaaniwe wewe unaependa michepuko na ukifika huko ili uwekwe moyoni,unamsengenya na kumkandia mkeo/mumeo au partner wako nimecheka. Hii nimeikuta sehemu" rafiki siwezi kukwambia mumeo anacheat au la, lakini mi bwanawangu alikua na hiyo tabia ya kunisimulia kasoro za mpenzi wake wa zamani. Yani...
  10. K

    Yawezekana kuwepo urafiki usio wa kimahaba kati ya mwanaume na mwanamke?

    hakuna kitu kama hicho,kuzuga tu. Hakuna urafiki kama huo,acheni kuwafanya wenzenu wanaouliza watoto
  11. K

    Rafiki yangu alikuwa sahihi kutenda hili mbele ya shemeji yake?

    kuna methali sijui msemo unaosema,ndege wanaofanana huruka pamoja, hii inaapply
  12. K

    Kumwambia mwanamke 'FANYA MAARIFA'

    haiwezekani. mke ni kuzaa kwa uchungu tu. ts very unfair kumwambia hivo
  13. K

    Kwanini baadhi ya wanaume za watu wanapenda wasichana?

    ndio hamna, huyo mwanaume mshenzi hajiheshimu. unakuta mtu tu kituo cha basi na kijifanya anajirafikisha kiajabu. natamani sheria ya wazinzi kupigwa mawe ingekuwepo
Back
Top Bottom