Recent content by karrote

  1. K

    Kazi

    kuna kazi ya muda mfupi ya receptionist piga 0763628866
  2. K

    Tume ya Utumishi wa Mahakama imetoa majina

    wandugu wenye hlo gazeti naombeni muniangalzie jna langu Caroline Kiswaga,niliomba nipo mbali.
  3. K

    Usaili wa NHIF

    Vijana tulieni msicheze na Mungu,kama amekuandikia ni yako tu.Mi niliapply namuamini Mungu wangu nitapata tu.
  4. K

    Jamani NHIF Wameshaita watu au bado?

    subiri bado hawajaita,hopefully mwezi wa pili
  5. K

    NHIF kazi

    wewe kama hujui kitu bora usijibu watu ambao wako serious wanahitaji kujua,NHIF ndio kwanza wanafungua applications na wanategea kuanza kuita kwa interview february na wala pale huwa hakuna rushwa kama unavyoongea.
  6. K

    Interview ChildFund Alliance

    wewe achana na izo kampuni zinazotaka utoe hela,tusikilize sisi tulioingia mkenge long time,nilishakutana na icho kitu nikatuma pesa wakanipa online exams nikafanya wakanipa pass mark za juu kishenzi hata mi najua sikufaulu vile baada ya hapo coz nilikuwa nimeshawapa pesa sikusikia chochote...
  7. K

    Nhif ajira ajira

    Kijana ya kweli hayo?maana mie pia nasikilizia sasa unaposema hadi June nakuwa kama sikusomi
  8. K

    Natafuta kazi

    British School of Zanzibar wanahitaji Science and maths teacher sasa sijui utawagoogle au utawapataje.kazi kwako
  9. K

    CRS Tanzania - Administration assistant

    Jamani naomba maelekezo ya wapi office za hawa CRS pliz kwa anaejua anisaidie
  10. K

    Adexec oil and gas company!

    kweli hawa watu ni matapeli confirmed.Na wana kesi yao hiyo yakutapeli watu mahakamani wanabadilisha namba za simu tu.so becareful na hao watu.
  11. K

    Adexec oil and gas company!

    Jamani hawa watu hata mi wamenitumia email but nimepiga namba yao wamesema sio lazima kutoa hiyo ela kama una mahali pakufikia,ila kwanini hawana website?atlist ingesaidia kuwasoma vizuri,sijui nifanyeje.wewe mdau unaenda au vipi?nimemwomba bro wangu yupo mtwara anitafutie kama hiyo kapmuni ipo...
  12. K

    jobs

    Asante na tuombeane
  13. K

    jobs

    Jamani wanandugu mimi naomba tu sala zenu niweze kupata kazi ninayoiota kila sila siku,huwa nasali kila siku ila nikijumuisha na maombi yenu nitapokea baraka nyingi zaidi na nitaitwa kazini mapema.Asanteni
  14. K

    Wale waliomba awareness creation officer

    Jamani hawa ni kiboko lakini tapeli ni tapeli tu duh,,,,,eti mpesa,tigo pesa tangia lini?hata mimi hiyo fomu yao nimeshtuka hiyo ela na jinsi yakulipa mtu ulipe bila hata yakumjua mtu unaempa hiyo pesa nyooooo,,,,,,,hakitoki kitu hapa.yaani nimegoogle hiyo website yao haifunguki haipo kiufupi...
Back
Top Bottom