Recent content by KANCHI

  1. KANCHI

    Yanga ikifungwa Jumamosi natembea bila nguo

    Huyu vipi?
  2. KANCHI

    Huyu Mzee kwa kufurahi na kufurahisha watu yuko vizuri

    Msimlishe maneno tu.
  3. KANCHI

    Mzee Yusufu kumtema mkewe baada ya kugoma kuacha kuimba taarabu kama alivyofanya

    Si ana wake wawili nadhani huyu jamaa.
  4. KANCHI

    Arusha ,mji ulionifanya kukosa amani.

    Na wewe ulikosea kumpa ushiriano kwa muda ule mchache mpaka picha ukapiga siku nyingine uwe makini hao sio watu wazuri inaonekana kabisaaaa.
  5. KANCHI

    Alichonifanyia rafiki yangu namuachia Mungu

    Upi? Alikufa kwa ngoma au...
  6. KANCHI

    Rais Magufuli kuiangusha CCM na kuwa chama cha upinzani 2020

    Si rahisi kihivyo aiseeee.
  7. KANCHI

    Misiba imekuwa gharama sana

    Mzee wa kaya akikaza tunaweza kurudi huko ngoja tuone..
  8. KANCHI

    Fundisho kwa mnaopenda kuchati chati hovyo

    Ni kweli kabisa hiyo style mbona ipo sana tu tuwe makini kwani imewahi kumkuta jamaa yangu yeye alikwapuliwa mkononi na mtu aliyepakiwa kwenye pikipiki hao wakatokomea zao.
  9. KANCHI

    Kama una degree/ diploma na unashindwa kujiajiri wewe ni mzigo kwa Taifa

    Maprofesa wenyewe tatizo hilohilo sembuse degree.
  10. KANCHI

    Graduate tuungane tutengeneze fursa

    Dar tukutane wapi siku gani.
  11. KANCHI

    Chama cha Mapinduzi(CCM) wamtoa machozi Eric Shigongo, wamwambia kunywa maji

    Kakosa baadhi ya vyeo vya kuteuliwa tu ndio maana kaweka hewani.
  12. KANCHI

    DC Hapi: Ajira ni aina fulani ya mfumo wa utumwa; Ashauri wasomi kujiajiri

    Viongozi wa africa ni rahisi kusahau alipotoka.
Back
Top Bottom