[#332$.sQUOTE=sheckman;11815510]Pia he utuhitaji kujiuzulu kwa kila WAZIRI ila hizi Halimashauri na Wabunge mnaotuhadaa na eti biashara za machinga pia zitaongeza Kod/mapato.
Jengo moja choo cha shule mamilioni ya Pesa.
Baada ya week limepasukapasuka kisha miezi miwili mitatu marufuku halifai...
Hilo tatizo linaitwa epistaxis linasababishwa na vijishipa vidogo na laini vya damu kupasuka ktk mfumo wa ndani ya pua. Sasa jitahidi kufatilia mtiririko wa joto mwili lake hasa nyakati za usiku na pia tafuta maabara nzuri ili apimwe malaria,mkojo,choo kubwa hafu ni pm.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.