Recent content by Kada Deya

  1. K

    Tusilaumu aliyepewa PhD kama zawadi tukasahau Kumlaumu Mtoa zawadi

    Sioni connection ya swali lako na post hii.
  2. K

    Tusilaumu aliyepewa PhD kama zawadi tukasahau Kumlaumu Mtoa zawadi

    WATAALAM MSIKUBALI KUPAKWA MAFUTA KWA MGONGO WA CHUPA Taasisi kubwa ya elimu kama Chuo kikuu inapomtunuku cheti cha PHD mtu ambaye hastahili kwasababu tu ni #Kiongozi au #mwanasiasa na anaweza kuwasaidia personally wataalam husika (waliompa cheti kwa hisani) mbeleni ni hatari sana kwa afya ya...
  3. K

    Je, vyama vya upinzani vimejiandaa kushindwa uchaguzi mkuu wa mwaka huu ?

    Ndugu wanajamvi; Tanzania Kuelekea uchaguzi mkuu wa mwezi October 2015 mijadala mingi ya kupendekeza na kubashiri kiongozi mkuu wa nchi (Rais) imejikita kwenye chama kimoja tu ambacho ni chama tawala CCM. Mijadala hii inaongozwa na kuchangiwa na watu wa pande zote yaani wapinzani na watu...
  4. K

    Mtunzi na muhamasishaji wa nyimbo za CHADEMA, ahamia ACT - Wazalendo

    Chama kilichowahi kupata umaarufu mkubwa miaka ya 2010 - 2012 ambacho bada ya kufukuza na wasomi wote kwa sasa uendeshwaji wake unafananishwa na ueshaji wa kampuni binafsi au saccoss (CHADEMA) leo kimepata pigo baada ya Muhamasishaji wake maarufu na mtunzi wa nyimbo maarufu ya Slaa anaweza na...
  5. K

    Taarifa zamtaja Paschal Patrobass Katambi kushinda mwenyekiti BAVICHA 2014

    Haitoshi kumsapoti mtu kwasababu tu umesoma nae chuo kimoja.
  6. K

    Taarifa zamtaja Paschal Patrobass Katambi kushinda mwenyekiti BAVICHA 2014

    Nafasi ya kwenda ulaya (ujerumani)ilikuwa ni ya mwenyekiti wa bavicha ndugu Heche ila kutokana na heche kutokujua lugha ya kiingereza vizuri ndio sababu ya patrobas kutumwa badala yake. Sioni kama hii ni sababu ya msingi ya kumuona ktu eti ni genious na anafaa kuiongoza bavicha kwasababu ya...
  7. K

    Taarifa zamtaja Paschal Patrobass Katambi kushinda mwenyekiti BAVICHA 2014

    Inawezekana kabisa unalolisema likatokea kwani mara nyingi chadema hakuna uchaguzi bali kuna uteuzi. Tunafahamu kwamba Patrobas ni chaguo la Heche na ndiye anayezunguka naye hata sasa kwenye kampeni ya heche kumchafua Waitara huko mara. Kigezo kikuu cha Heche kumkubali Patrobas ni pale alipoenda...
  8. K

    Mbowe apata mpinzani uenyekiti CHADEMA, ni Kansa Mbarouk

    Hivi hao wazee wa kuchongwa waliohongwa na kigaila kumchukulia mbowe fomu ndio wazuwie watu wengine kugombea. Mbona chadema tunakuwa mbumbumbu kiasi hiki ? Kila mwanachama mwenye sifa anahaki ya kugombea bila kujali nani kachukuliwa fomu na nani.
  9. K

    Mbowe apata mpinzani uenyekiti CHADEMA, ni Kansa Mbarouk

    Hakutakq kujilimbikizia madaraka kwa kuwa anatambua kuwa watu ni wengi si lazima mtu mmoja kuwa na vyeo lukuki.
  10. K

    Shushushu wa CCM kugombea uenyekiti wa BAVICHA taifa

    Hekaya yako haitabadili ukweli huu. Usilolijua ni sawa na usiku wa giza.
  11. K

    Shushushu wa CCM kugombea uenyekiti wa BAVICHA taifa

    Chagulani ndiyo nani ?
  12. K

    Shushushu wa CCM kugombea uenyekiti wa BAVICHA taifa

    Tusipende kukurupuka tu kwa ushabiki, kwani wapi heche kasemwa vibaya? Kilichoelezwa ni ukweli tu kwamba alowakilishwa na patrobas ujerumani sasa unachokisema zaidi ya bavicha ni kitu gani?
  13. K

    Shushushu wa CCM kugombea uenyekiti wa BAVICHA taifa

    Acha umbumbumbu issue ya mchange nimeizungumzia nilipokuwa najibu hoja ya mtu aliyesema diallo ni mwanamabadiliko. We vipi wapi nimemuhusisha mchange na patrobas kwenye post yangu ? Ni vema ukalielewa jambo kabla ya kukurupuka kuchangia.
  14. K

    Shushushu wa CCM kugombea uenyekiti wa BAVICHA taifa

    Amlipaye mpiga zumari ndio huchagua wimbo. Kumbuka wikinmbili zilizopita ni kampuni hii iliyompa Habib Mchange muda wa kutosha katika press conference yake ya kuichafua chadema kwa kuihusisha na mauaji yote ya utata yaliyowahinkutokea Nchininkwetu. Huenda kweli unayosema kuhusu diallo kuwa...
  15. K

    Shushushu wa CCM kugombea uenyekiti wa BAVICHA taifa

    Kaka usipotoshe watu huyu jamaa ni shushu tu, kafanya nini kwenye huo uanasheria wake wa kanda ya ziwa? Hivi unaweza ukawa mgombea wa chadema halafu sapoti uipate kwa mwenyekiti wa ccm bado ujiite mpinzani ?
Back
Top Bottom