Walimu kila sehemu yeye anajua ni darasani.anaacha kujikita kwenye mada yeye anaanza kutafuta makosa ya kiuandishi wa herufi za R na L[emoji23][emoji23]
We hauishi mbeya mjini .barabara kibao ni mbovu bora hata Sugu alijitahidi.ukienda Nonde,mabatini,Ghana,iziwa,Nsoho hakupitiki Kwa ubovu wa miundo mbinu.sasa wewe mwenzetu sijui unaishi mbeya mjini ipi?? Tulia anachoweza ni mbio.kata ambazo Tulia nina uhakika atapata kura ni Iziwa na Nsoho...
Cholesterol sijapima mkuu,uzito ni kg66 ila kuhusu height pia sijui ila mi sio mrefu wala sio mfupi.nipo normal.sivuti na sinywi wala hizo chumvi nyigi sio sana.wasiwasi ninao mkuu hasa baada ya kupata taarifa za ugonjwa.
Wakuu habari zenu?
Nina miaka 35 sasa ila nasumbuliwa na changamoto ya ugonjwa wa presha kuwa juu. Nina miezi minne sasa tangu tatizo lianze.
Kwa yeyote anaejua matibabu au dawa nzuri ya kuondoa kabisa hili tatizo naomba msaada tafadhali.
Nimeshafanya vipimo vya moyo ila hakuna tatizo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.