Recent content by john_selcius

  1. J

    Kikwete: Lowassa ndiye mhusika wa Richmond

    Maombi yetu kwa Lowasa kisha tutayarekebisha. Kama ilipangwa tutapangua
  2. J

    Old coin hunters wanted

    Nina sarafu za kale kwa yeyote mwenye uhitaji. Tafadhali PM
  3. J

    Dada anatafuta kazi ya kuuza duka la madawa Dar

    Sijakuelewa unamaanisha nini kwa usemi wako huu.
  4. J

    Dada anatafuta kazi ya kuuza duka la madawa Dar

    Wakubwa zangu, nawasalimuni nyoote. Naomba yeyote wa kunisaidia, Dada yangu amesomea ADO (TFDA), na anatamani kufanya kazi Dar ya kuuza dawa katika Duka la Madawa. Anauzoefu wa miaka miwili ya kazi hiyo na hata sasa yuko katika ajira hiyo mkoani. Tafadhali, naomba mnisaidie. Mwanajamvi
  5. J

    Naomba msaada wa kununuliwa gari la kubeba taka

    Usijali, kila mtu hupita hatua fulani za maendeleo, na kila hatua yamkini kuna vikwazo vinavyoterajiwa au visivyoterajiwa. Muhimu ni kutafuta njia halali kushinda vikwazo.
  6. J

    Naomba msaada wa kununuliwa gari la kubeba taka

    Nashukuru kwa kunielewa,kati ya vikundi tuliopewa kazi hizo wapo pia vikundi wenzetu wenye tatizo kama letu la uhitaji wa kitendea kazi kama hicho. Kwa hiyo, tumeshawahi zungumza nao kwa maana ya wao kuwa wateja kwa kukodi kutoka kwetu kama tutakuwa nalo. Na kwa hesabu ya pamoja, tukaona na...
  7. J

    Naomba msaada wa kununuliwa gari la kubeba taka

    Asante kwa ushauri, lakini mi nimemaanisha katika ombi langu kuwa naomba. Na nina imani yupo mmoja kama si wengi wenye kushikwa na Mungu katika hili. Hivyo usichoke na usikate tamaa katika kutafuta namna ya kunisaidia, bila kujali nafanya biashara au la !!! Yamkini tukifanikiwa katika...
  8. J

    Naomba msaada wa kununuliwa gari la kubeba taka

    Hatuna pesa ya kununua gari, tunaomba msaada wako.
  9. J

    Naomba msaada wa kununuliwa gari la kubeba taka

    Naomba kupewa gari na sio kununua. Na sio kuwa labda kuwe na makubaliano ya kurudishia mhusika pesa hapana. Naomba kupewa gari bure kwa maana ya kusaidiwa.
  10. J

    Naomba msaada wa kununuliwa gari la kubeba taka

    Chama chetu kimesajiliwa. Tupo watano. Kazi tulopewa ni kuzoa dampo zilizokuwepo kupeleka dampo kuu yapata kilomita tano nje ya mji. kazi ya pili ni kuzoa taka toka kwenye kaya za eneo tulokabidhiwa. Na tunakusanya ushuru, lakini ushuru ule haukidhi kurudisha gharama za mafuta, kukodi gari...
  11. J

    Naomba msaada wa kununuliwa gari la kubeba taka

    Mpendwa mwana JF, Ninaomba msaada toka mtu yeyote au taasisi yoyote wa kununuliwa gari (tipa) lenye uwezo wa kuanzia tani saba na kuendelea liwe linaweza kubinua. Nimekusanya vijana Wilayani Mpanda mkoa wa Katavi, na kuunda kikosi kazi kinaitwa WASAFI HOME CLEANERS, tumepewa kazi na...
  12. J

    Dawa ya kusafisha Tumbo (Msaada)

    Habari ndugu pole na tumbo. Nakushauri kama bado wasumbiliwa tumia Antidiarr, itakusaidia sana na hata kwa wale wenye matatizo ya muda mrefu, wakitumia dawa hii nawahahikishia hakuna taabu tena. Nimewapa wengi na wamerudisha majibu ya ufumbuzi wa matatizo yao. Unaweza ni PM.
Back
Top Bottom