Recent content by john wayson

  1. J

    Elections 2010 Awamu ya Kwanza Kampeni ya Dr. Slaa kuelekea Ikulu

    Eee MUngu ibariki Tanzania yetu, weka mkono wako wenye nguvu juu ya watawala, hao wanaotafuta nafasi ya kutuongoza, tunaomba utume malaika wako walinzi waizunguke masanduku yote ya kura kusiwe na uwizi wa aina yoyote, maana uwizi si asili yako e mungu wetu, wapofushe wenye nia mbaya ya kutaka...
  2. J

    Madaktari wapigwa stop kufanya kazi private

    Pamoja na hayo yote ni siasa chafu na uongozi mbovu wa serikali, just imagine Docta moja kusoma hapa nchini degree ya kwanza mpaka aitwe Dr miaka 5. gharama atakazo tumia si chini ya milion 40,000,000/= halafu serikali inamwajiri kwa mshahara wa tsh, 889,000/= kwa mwezi, ukitoa makato yote take...
  3. J

    Elections 2010 Hii Ndo Tanga Zaidi Ya Uijuavyo!

    wapendwa yanini kulumbana, kikubwa ni kwamba tunahitaji mabadiliko kwa ajili ya maisha yetu. yafaa nini chama kimoja kiendelee kuiongoza nchi hii yenye vyama vingi vya siasa? all in all, waliyoyafanya, mazuri kwa mabaya, tunayakubali, lakini utamu wa jembe kupokezana ndugu zangu, mwenge zikuzote...
  4. J

    Elections 2010 Miaka mitano tu kwa Dr. Slaa

    kila nikilala nakumbuka maneno fulani kwenye biblia Mungu alisema watu wangu wanaangamia kwakukosa maarifa! mimi naona kunabaadhi ya watanzania hata paka wa nyumbani anawazidi akili, kwa sababu paka akijisaidia atahakikisha ameficha, kama hakuna mchanga basi hata kwenye unga kama ukiwa wazi...
  5. J

    Elections 2010 Hili Ndilo Neno La Mama Salma

    jamani jamani jamani, enyi akina mama mbona mnadanganywa na huyo mama! shule tumejenga wenyewe,tulitegemea labda basi watatuletea waalimu, wapi! akina mama msimsikilize huyo mama watoto wake hawasomi shule za kata, watoto wanao teseka ni wetu, serikali imetekeleza nini kutukana wafanyakazi, kwa...
  6. J

    Elections 2010 CCM na upungufu wa magari ya kampeni

    kwani zilizo tumika mwaka 2005 zilikwenda wapi, hii chama si cha mafisadi, wanaziiba wenyewe humohumo, mjanja anatoka nazo.
  7. J

    Elections 2010 Why Dr. Slaa...?

    Mungu usikie kuomba kwetu, wataruka ruka lakini mwisho wao u karibu, mungu anachukizwa na dhuluma na ufisadi wa jasho la wa tanzania wasio na hatia wanakamuliwa kila kukicha kwa kodi na michango lakini watu wanazitia mifukoni, serikali imekodishwa na chama, askari wanafanya kazi za chama,sasa si...
  8. J

    Elections 2010 Miaka mitano tu kwa Dr. Slaa

    watanzania tunakila sababu ya kufanya mabadiliko, kwani yote anayosema Dr Slaa yanawezekana, wakati Tanzania ilipopata uhuru kutoka mikono ya wakoloni, haikuwa na kitu, lakini haya yaliwezekana, mwl nyerere aliiongoza nchi hii, maskini, lakini kwakipindi hicho elimu kilitolewa bure, si...
Back
Top Bottom