Recent content by John-Q

  1. J

    Inasikitisha sana. Kwanini Azam Media inaendekeza udini namna hii?

    Hata mimi bro house girl wangu sharti la kwanza awe muislam, pia nikifanya shopping choice ya kwanza maduka ya waislamu nikikosa nanunua kwa mwanamke nikikosa ndio nanunua kwengine. Ni chaguzi tu
  2. J

    Ushuhuda wangu kuhusu kaburi la Hayati Magufuli

    Mkuu kama wewe ni muumini wa dini hizi za Uislam na Ukristo basi jua kwamba aliekufa kashakufa hana uwezo wa kukufanya lolote wewe ulie hai. Kama wewe ni muumini wa dini za asili au uchawi ndio unaweza kuamini kuna mizimu ya waliokufa (mababu na mabibi) wanaweza kukudhuru au kukusaidia. Kwa...
  3. J

    Usioe mwanamke anayevaa vikuku na kuweka marangi rangi kichwani

    Mimi napenda akiweka bleach na vikuku mguuni, ugonjwa wangu hatari sana.
  4. J

    NATO wasema wanafukuzana na wakati kuiwahi Urusi

    Wagner ni Private Military Company inafanya kazi chini ya amri ya Putin na amehusika kuiunda na inafanya operations za nje ya Russia na brings more money to Russia and Putin's pocket na few Orligachs ktk cirle yake.
  5. J

    Ni viashiria gani (social Indicators) ambavyo vinaonesha kuwa mtawala fulani nchi imemshinda?

    Kulaumu badala ya kutoa suluhisho au njia kuelekea kwenye suluhisho
  6. J

    Kwanini kila Papa anapoongelea ushoga huwa anaonekana kanukuliwa vibaya?

    Mzee hiyo umeitolea wapi? Tunaomba ushahidi kama.sio stori za vijiweni na wenye chuki
  7. J

    Kauli hii ya mke wangu ina maana gani?

    Hata kama mna watoto inawezekana kuachana.
  8. J

    Kauli hii ya mke wangu ina maana gani?

    Red flag hiyo mzee, kakwambia kuwa wewe sio type yake na bila shaka yupo in open relationship akimpata type yake wewe ndio utakua mchepuko. Tafuta mwanamke mwengine wanaume hatutakiwi kuwa na option moja, NEVER EVER.
  9. J

    Azam TV acheni ubaguzi kwa Wakristo

    Naona sio tatizo, labda umechagua kuangalia baadhi ya channels, kuna channels zaidi ya 3 za dini ya kikristo 24/7 wanaweka maudhui ya kikristo, kuna upendo na nyengine. Pia wanatoa salamu za xmas ktk baadhi ya vipindi pia logo yao imewekewa alama ya xmas.
  10. J

    Kaka: Waislamu ni watu wa amani, ni propaganda za vyombo vya habari vya Magharibi tu

    Hakuna mafundisho haya ktk uislamu, ni uzushi na itikadi za maadui wa uislamu ktk kupotosha. Uislamu umekemea ushoga na kulawiti na adhabu yake ni kuuwawa.
  11. J

    Kaka: Waislamu ni watu wa amani, ni propaganda za vyombo vya habari vya Magharibi tu

    nadhani hajui kwa nini militants wa Joseph Kony wanaitwa kwa ufupisho LRA na sio kwa urefu Lord Resistance Army. LRA ni wakristo wa siasa kali na wanahubiria biblia kuhalalisha mauaji wanayofanya ila kwa sababu media zimechagua upande na hawataki kutengeneza image ya ugaidi ktk ukristo thats why...
  12. J

    Kaka: Waislamu ni watu wa amani, ni propaganda za vyombo vya habari vya Magharibi tu

    Fuatilia vizuri utapata ukweli wa hao uliowataja. The world is full of lies
  13. J

    Kama mwanaume: Jitahidi mazingira yako ya nyumbani yawe bora kuliko mazingira ya nyumbani kwa mke wako

    Mkuu i never took a penny kutoka kwa huyo mzee. Kwa kipindi chote amekua ankinishawishi nikamsaidie majukumu ktk moja ya shughuli zake nimekua nikimkatalia sababu i know consequencies.
  14. J

    Kama mwanaume: Jitahidi mazingira yako ya nyumbani yawe bora kuliko mazingira ya nyumbani kwa mke wako

    Maoni yangu ktk hili swala kupitia ushuhuda wangu bjnafsi. Mimi na mke wangu tulikutana chuoni miaka 11 iliyopita, mimi natokea familia ya kipato cha chini ila yeye kwao wanamaisha mazuri hasa, yaani unaweza sema familia yao yote wapo vyema kuanzia baba, baba wa dogo nk. Ni wafanyabiashara wa...
Back
Top Bottom