Uko sahihi na ni wachache sana watakoweza kuelewa ile logic. Pili, kimsingi walifeli sana, km waliwalenga wasomi watapuuza upuuzi kuwa mtu anaweza kusoma na asijue gpa na km waliwalenga wapiga kura wao, most hawajui gpa na mbaya zaidi hawatanunua upuuzi kuwa eti msomi ana degree lakini hajui...
1. Sawa bosi ila mi dada
2. Kwa shule nina;
a) F4, division one
b) F6 PCB, divison one
c) BSc wildlife management, GPA 4/5
d) MSc natural resources management, GPA 4.25/5
e) PGD business administration, Very good
3. Kwa ufaulu huu kweli usipewe nafasi ya usaili kazi ya kufundisha?
4. Uzoefu...
Mr Xavier Daudi, Sekretariat ya Ajira (PSRS), hivi kweli katika zama hizi za ukosefu wa ajira Tanzania inawezekana vipi mtu moja pekee atimize vigezo vya kuitwa kwenye usaili wa nafasi ya ASSISTANT LECTURER (WILDLIFE)? Hii nchi nimenyanyua mikono.
Nashauri kila mtu TZ sasa aelewe na atambue...
Creation si ndo upumbavu kabisa, inasema mwezi ni mwanga, yani mungu aliuumba mianga mikubwa miwili, yani mungu aliyeumba universe hajui kuwa MWEZI SIYO MWANGA
Ndo uwezo wa juu kabisa wa kufikiri? Unaelewa maana ya mtiririko au ile akili tu kuamini kwamba ni kitabu cha mungu, kaisome utaelewa kuwa haina mtiririko wala consistency
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.