Recent content by Ja Ja

  1. J

    Tujikumbushe Kipindi kileeee JAMBOFORUM!!

    Jamani mmenikumbusha mbali jambo chat wapi dj sure na ray jr
  2. J

    Huyu mke vp?

    Jamani tunavyowatafuta wanaume wa kutuoa huyo mwanamke vipi
  3. J

    Dhibiti muda anaospend mumeo kwa small house...

    Small house oyeeeeeeeee aisee small house zinawakosesha usingizi eeeh
  4. J

    Isnt There More To Life Of A Woman Than Marriage!!!!!!???? Haya Baada Ya Ndoa Then What????????

    Yaani lara1 unaongea point sanaaaaaa jamii yetu ina stigma ya ajabu na ndo inawafanya watu wanateseka kwenye ndoa kisa akikaa mwenyewe jamii inamuona hayuko sawa hii si sawa
  5. J

    Isnt There More To Life Of A Woman Than Marriage!!!!!!???? Haya Baada Ya Ndoa Then What????????

    Hivi kuna sheria ngapi mungu ameziweka na hatuzifuati tumengangania lazima ndoa ndoa sio lazima jamani
  6. J

    Baba ni zaidi ya kuzaa -Sikilizeni Clouds FM

    hii post imenifanya nitokwe machozi natamani mtt wangu angekua na baba bora na si bora baba
  7. J

    Ndugai alipompiga mkwara Halima Mdee Bungeni Leo

    sisi wananchi huku mtaani tunasikia hasira sana dawa yao ipo
  8. J

    Kikwete anaongea na watanzania gani?

    mi najiulizaga swali hilo kila mara nikiwasikiliza hawa viongozi wetu wakiongea sijui labda tunaishi tanzania mbili tofauti wenzetu haya yanayotukuta sie hayawakuti wao
  9. J

    Mbunge Lucy Mayenga apata ajali!

    we lazima utakua jirani yangu ni pm
  10. J

    Mawifi jamani, hivi wana nini?

    kwani ni lazima ujibu au ndo unataka tukuone unajua sana kujibu nwe hasaa ulichochangia cha umuhimu kiko wapi
  11. J

    Kevin Twisa, mfano wa kuigwa

    sasa kwanini usiongee na hiyo robo tatu ya familia yako uwaambie warudi waache kuuza mikate mitaani kuna wauza mikate wangapi tz mbona hushughuliki nao kama kweli unawaonea huruma watu wanaopata tabu na maisha
  12. J

    Mawifi jamani, hivi wana nini?

    hivi ni mimi tu imekua tabia mtu anatoa mada baada ya kuchangia watu wanaanza kupiga stori hata kusoma mtu unakosa hamu
  13. J

    Kevin Twisa, mfano wa kuigwa

    hivi ukisema hivi ndo unapata faida gani watu bwana kujitutumua ka koti la agha khan
Back
Top Bottom