Recent content by Irizar

  1. I

    Ukweli kuhusu Dr. Slaa

    Slaa amekuwa sooo selfish ni mbayaaa sanaaa, aangalie masilahi ya chama kwanza. Hata hivyo mwenyekiti Mbowe au mwenyekiti yoyote yule ni ngumuuuu kumridhishaa kila mtu. Wengi wape bwana. Mbona yeye aliacha upadri akapokelewa uraiani, asituzenguwe bwana.
  2. I

    Freema Mbowe ni Mtoto wa mjini, true hustler...

    Slaa, Mnyika na wengineo hawajambooo, na wako bizeee na majukumu mengineee. Msiwe na shaka, jana ilikuwa ni mgawanyo wa kazi tu.
  3. I

    Hoja ya kumpokea Lowassa CHADEMA iwekwe kando

    Sidhani kama Lowassa ni mjingaa kiasi hicho kuhamia chadema. CCM watamshughulikiaaaa balaaa wakimpelekea TRA, watakata matumizi yake yoteeee ya uwaziri mkuu, matibabu yk ya Germany siyo mchezo kilaaaa kituu analipiwa na serikali. Sidhani anaweza to risk that much siyo mwehuuu Lowassa
  4. I

    Mishahara ya Marais wa Afrika, Kikwete aongoza Afrika ya Mashariki

    Siyo kwelii jamaniii haiwezekani wapate mishahara hiyo, wakati mapato ya nchi zao hayafikii hizo pesa kwa mwezi ni uongoooo kabisaaa. Nchi za Africa haziweziii kabisaa kulipa hiyo mishahara. Wangepata hiyo mishahara wasingekazanaaa kuiba. Siyo kweliii nchi za Africa hazina pesa
  5. I

    Hizi fedha zinazogawiwa na TASAF

    Ukitaka kuwa na uhakika si uwende huko TASAF makao makuu ukawaulize kaahh. Usihukumu bila kuwa na taarifa kamili.
  6. I

    Kutoka Dodoma: Fedha za kuhonga wajumbe wa NEC ya CCM zakamatwa!

    Huyu jamaa amebanwaaa sanaaa kasema yeye katumwa na Team Lowassa aibuuuu yaoooo.
  7. I

    CCM wametoa ratiba ya vikao kwa siku ya leo tarehe 10 Julai, 2015

    Mimi naona ni ngumuuuu sanaaa kumkata Lowassa, hata kama hafaiiii, watamuwekaa tuu hawana jinsi, hali ni ngumuuu, mliona jana walivyomshangiliaaaa bungeni hatariiii. Tuombeniii sanaaa wapendwa.
  8. I

    Hotuba za Rais Kikwete ni worthless papers, kama unabisha sikiliza ya Mei Mosi

    Hii nchi bado tuna safari ndefuuu sanaaa kwa nwendo huu
  9. I

    Wassira achukua fomu ya kuomba kuteuliwa Urais na CCM

    Jamaniii hata yeye kaumbwa na Mwenyezi Mungu, aliyewapa nyinyi, ndiye kamnyima true. Hapa hatufuati sura ni mtuw safi na utendaji wake sawa
  10. I

    Kama vijana walilipwa Tsh 50,000 kuvuruga kongamano Ubungo, wakipewa 50ml wataifanyaje nchi?

    Vijana kukosa ajira nalo ni janga la taifa. Vijana wako tayari kufanya chochote kile uzalendo hakuna tena. Mungu tusimamie tunaangamia.
  11. I

    Kama vijana walilipwa Tsh 50,000 kuvuruga kongamano Ubungo, wakipewa 50ml wataifanyaje nchi?

    Watanzania tumekuwa wehu sasa. Ila CCM watatufikisha mahali pabaya.
  12. I

    Rished Bade ateuliwa kuwa Kamishna Mkuu Mpya TRA

    Hongera sana Bade, Mwenyezi Mungu akusaidie upige kazi vizuriii. Rushwa ni adui wa haki. Angalia rushwa na kodi za aina zotee Mafanikiooo mema sanaa Mtoto wa mkulima..
  13. I

    Pray for my dady

    Pole sana ila kumbuka kuna wakati hawa madakitri wetu wanaweza wakakwambia kitu ukadhani ni kweli kumbe hakuna loloteeeeeeeee, ungekuwa na pesa panda ndege mpeleke baba yako India... kwa uangalizi zaidi, hapa watu wanadesa sana kwenye mitihani na wanafanya makosa kibaoo makazini. Nawajuwa watu...
Back
Top Bottom