Hakuna mpuuzi yeyote atakaeandamana
Labda hao wakina lowasa na mbowe
Maana sisi wanachadema wa ngazi za chini hatuoni sababu ya maandamano hayo
Kupinga kile ambacho hao hao wakina mbowe walikilalamikia kuwa hakifanyiki kwa miaka mingi
Leo kinafanyika
hao hao wanakipnga
huo ni ulofa na upumbavu
Mwandishi wa hii hekaya amejawa na hofu ya wanasiasa kurejea CCM
Namshauri tu atulize moyo wake
Watu wenye nia ya dhati wasioendeshwa na remote ya mbowe wafanye maamuzi yao wenyewe na usiuaminishe umma ya kwamba wanashawisiwa.
Unataka kutuaminisha ya kwamba hata kuondoka CCM WALISHAWISHIWA?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.