Nachangia pale ninapo kuwa na uelewa wa jambo husika. Nachosema ni hivi' hakuna mfumo unaosumbua pale TASAC. Nimeuliza ni mfumo gani unasumbua ili usaidiwe?. Otherwise utakuwa basi unadanganya umma kupitia JF.
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Hujanielewa ,na hujajibu hoja yangu.Sema ni mfumo gani unasumbua ili usaidiwe???.So far hakuna mfumo unao sumbua pale TASAC.Kama umekutana na changamoto yoyote sema usaidiwe.
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Acha kudanganya TASAC mifumo yote inafanya kazi. Otherwise sema kama umekutana na changamoto yoyote na uwe specific ni mfumo gani ili usaidiwe.
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Nimekupata vizuri! Hata Mimi nilipitia ile riport ya Richmond , yaani nilihisi kulia. Yaani PPRA iliweka wazi kwamba taratibu hazikufuatwa hata kidogo lakini PCCB ikasema kila kitu kilienda sawa. Yaani naomba watu tujalibu hata kupitia tu ripoti moja hiyo ya Richmond ndo tutajua integrity ya...
Mpaka raisi anachukua hatua za kumsimamisha kazi amejiridhisha vya kutosha. Issue sio kupeleka kesi mahakamani ,issue ni kutoa ripoti kwanza. Sasa ujiulize ameisaidia vipi serikali kuipa ripoti za rushwa na ufisadi? Lazima raisi amejiridhisha vya kutosha hapa. Kwakweli TAKUKURU ni tatizo. Yeye...
Pitia riport ya Richmond ndo utajua Hosea yuko smart au la. ile riporti ukiisoma unaweza kulia. Yaani Takukuru ilikuwepo tu .KAZI yake ilikuwa kusafisha mafisadi! Naunga mkono utenguzi huu!
Makonda ana Elimu ya chuo kikuu ngazi ya degree, na ameipata kihalali kabisa kwa jasho lake.Labda mlete point nyingine. Lakini kuhusu Elimu ni kwamba anayo tena ana degree ya maendeleo ya jamii.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.